Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 704
- 1,381
Kabla ya kumaliza chuo kuna manzi nilimvuta geto nikampa roles za mke na ahadi kibao kuwa tutaoana akimaliza chuo acha Mimi nitangulie nikatengeneze life mtaani.
Nilimvuta geto karibia miezi mitatu ya mwisho mpaka tukafanya UE.
[emoji2]Cha kustaajabisha nimefika mtaani mkoa X na yeye yupo field mkoa Y ila mawasiliano Ni mpaka Mimi nimtafute.
Kuna muda hapokei Simu na hajibu sms kwa wakati.
Mwanzo nilifumba macho nikaamua niwe namtafuta hivyohivyo kuepusha penzi lisife. Isije ikawa nimemchezea Binti wa watu then nikamuacha.
Juzi niliamua nikaushe kuona kama atanitafuta ila mpaka muda huu hakuna call wala text yake zaidi ya kuwa status viewer wangu mzuri tu.
[emoji2]Na Mimi Kama baharia Sina muda Tena na yeye Niko bize kutembeza bahasha yangu ya kaki mpaka kieleweke.
Nitaendelea kuwatumia DADA POA mpaka nitakapopata kampenzi kengine.
Kwa huu uamuzi sitaki lawama make penzi kaliua mwenyewe
CONCLUSION: mkehatafutwi chuo.