Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba.

Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma kwa ajili ya matibabu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamke huyo ambao amesema baada ya mwanaume huyo kufanya tukio hilo alikimbilia nchi jirani.

"Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria,"amesema Kamanda Maigwa.

Kamanda Maigwa amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Huruma ya Mkuu kwa maandalizi ya mazishi baada ya taratibu za uchunguzi kukamilika.
 
Wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe.

Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
 
wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Alikuwa mzazi mwezi mmoja.....we unaweza kumfanya mtu na labda alikuwa bado anavuja vuja
 
wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Hamna lolote,umuue mwanamke ambaye ana mwezi toka ajifungue kisa nyege zimekupanda?

Tamaa gani hizi?,wachaga watu wabaya Sana katika taifa letu,hawafai
 
wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Mwanamke aliyetoka kujifungua kweli?
Au hujasoma mkuu?

Mbona tuna mbinu zetu tu za kutatua mpk Mwanamke apone
 
wanawake msipo jitambua misiba kwenyu haitoisha, mwanaume akishakua na hamu ya kufanya tendo la ndoa, hubadilika akili na huwa sawa na beberu la mbuzi na hupagawa na kuwa kama mnyama unapomnyima unyumba, akili yake humjia, akishafanya tendo lenyewe. Sasa wewe mwanamke, unatarajia ukimnyima unyumba si kukudhuru tu?
Umeelewa mada Mwanamke alikuwa ana mwenzi mmoja wa uzazi yaani hata kama ana maumivu afanye.
 
Back
Top Bottom