TFF wanadaiwa mamilioni na mama F. Bayi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa.

Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia.

F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake.

Haitoshi taasisi kama TFF inataka kuwaumiza wasiendelee tena kwa kutowalipa pesa zao.

Wewe nani haupo hata history ya tanzania uwakopeshe hawa watu.

Tunaomba Waziri mlezi msaidie huyu baba kwa kulipa pesa zake.

ITV ameonekana mzee anatoa machozi wakakata. Karia mna hela za mikutano ya hovyo hamtaki lipa watu aibu sana
 
Back
Top Bottom