Kodi ya Uzalendo na Kisa cha nguruwe kula watoto wake

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Kuna Kipindi nilifuga nguruwe, yule nguruwe akapata watoto 7. Sasa cha kushangaza siku ya pili yake jioni nakuta vitoto 4, nikauliza ni nini kimetokea, kijana akasema na yeye anashangaa.

Nikampigia simu rafiki yangu kuuliza akasema huenda hakupewa chakula cha kushiba hivyo sababu ya njaa kala vitoto. Jaribu kumpa chakula halafu utanipa matokeo ni kweli nguruwe wakaendelea vizuri kabisa, ikagundua tatizo ni njaa kupelekea kuwala watoto wake.

Mimi nilidhani ni nguruwe tu akishikwa na njaa uwatafuna watoto, kumbe hata na Serikali yetu ni hivyo hivyo.

WATOTO TUNAJIFICHA WAPI?
 
Nguruwe hukatwa meno akiwa mtoto.....


ANYWAY KUWA MZALENDO .....ACHA TUJENGE NCHI
 
..
IMG-20210715-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom