kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
  2. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Soma hapa madhara ya punyeto kiroho

    📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣 HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO 🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima unaliona anguko lako la kiroho? Kwanini umeamua kuichagua mauti badala ya uzima?

    Karibu hapa askofu Josephat gwajima! Heri konzi Moja pamoja na furaha ! Kuliko konzi mbili pamoja na huzuni ,nakuuliza askofu wangu ndugu Josephat kwamba hulioni anguko lako Bado najua Unafahamu thamani na heshima ya kuhani wa mungu ! Mimi nauliza tu Bado tuendelee kuiamini mikono yako...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi kunakuwa na msururu wa misiba ya watu unaowajua, huwa kuna nguvu yoyote kiroho?

    Wiki iliyopita Baba mkubwa wangu alifariki, Siku mbili zijazo kuna msiba wa jirani nyumba zetu pua na mdomo, ghafla tena kuna msiba wa mama wa jirani yangu wa ofisini,
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania BBC wamechelewa sana kumchafua T.B Joshua, Afrika imekua sana kiroho

    Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao. Ukweli ni kwamba Afrika...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kwa urahisi hapa jijini Dar es salaam. Nenda kaishi Chanika

    Kwa sababu Chanika kuna " uhai" . Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika. Siku hizi wafanya biashara...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

    Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo kuwa Masikini ni matokeo ya Shambulizi la Kiroho

    Mungu alimuumba mwanadamu tajiri na mwenye vingi. Adamu alikuwa ni mtu aliyepungukiwa kitu kimoja tu dunia nzima. katazo la ulaji wa mti wa mema na mabaya. Baada ya shambulizi la kiroho ndio manadamu akaanza kuwa na mapungufu na masikini wa vitu. Kwa mkristo kuishiwa, kupungukiwa isichukuliwe...
  11. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

    Ukisikia kitukuu cha mtume ndo ichoo..
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuombewa/maombi/maombezi - Kiini cha ulemavu wa kiroho kwa Wakristo

    Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba". Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya kiroho nawaomba haraka

    Habari! Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri. Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17. So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mchungaji Kumuyi wa Nigeria ameanguka kiroho?

    Ni Pastor mkubwa wa kanisa kubwa la kilokole kule Nigeria linaitwa Deeper Life, anasifika kwa kuhuburi injili ya utakatifu na kuishi maisha matakatifu. Mwanzoni kulingana na baadhi ya shuhuda za watu inasemekana yeye ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ila siku hizi mbili tatu nimeona picha zake...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

    Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi. Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba, magreda...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

    Wadau wote Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo. Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon Karibuni tupeane maarifa Sabato njema Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
Back
Top Bottom