Mkeka wa wakuu wa mikoa na wakurugenzi unanukia, jiandaeni kiroho na kimwili

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri.

Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya kichaguz imekuwa kubwa zaidi.

Tupisheni hadi wakati mwingine tutakapowaita tena.
 
Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar; tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri.

Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya kichaguz imekuwa kubwa zaidi.

Tupisheni hadi wakati mwingine tutakapowaita tena
Ccm watatue matatizo ya wananchi, hasa rasilimali ardhi..., vijana na ajira na ugumu wa maisha, ccm imeanza kukataliwa na kasi ni kubwa.
 
Hiv huko kwenye muhimil unaoitwa Executive,hakunaga kazi nyingine ya maana zaidi ya kuandaa list za nani akae wapi?? Mbona viongozi wetu wamekua wapumbavu namna hii?
Wanasema there is loneliness at the top.Amani ya moyoni hakuna.
 
As soon as serikali ikiingia madarakani akili zao zanawaza uchaguzi unaofuata na sio kuwatumia wananchi.

As a matter of fact, kwa Tanzania wananchi ndio wanaitumikia serikali!! Kuna siku nchi hii yatatokea mapinduzi kisha watu watabaki wanashangaa what happened?
 
Back
Top Bottom