Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,167
20,346
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
 
huyu hawezi kuwa Rais hata kama angekuwa CCM
 
Tumaini la Watanzania kupitia kikundi cha mafisi wachache yamekuwa finyu sana hususani kwenye mustakabali wa nchi yetu.

Kifo cha Membe kina mengi nyuma ya pazia lakini amini nakuambia Lissu ni mwanasiasa na nusu
Lissu sio mwili aa kawaida. Ile ni Roho ktk umbo la kimwili.
 
Back
Top Bottom