Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa?

Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature ni akili kubwa na hakuitwa Nature kimakosa.

Kwanini Juma Nature (Baba Furaha) hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa?

Ukisoma comments kwenye interviews nyingi za Juma Nature, common comment utayokutana nayo kwenye kila interview ni: ANAULIZWA SWALI TOFAUTI ANAJIBU TOFAUTI. wengine huenda mbali kwa kusema sijui amelewa mara bangi etc.

Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba hayo majibu Juma Nature huwa ana yatoa kwa makusudi na ukichunguza zaidi utagundua huwa ana toa majibu ya namna hiyo kwenye maswali ya kiwaki tu pamoja na maswali yote yanayo mtaka atoe maoni kuhusu watu wengine.

Mfano:

MTANGAZAJI: Juma Nature juzi tulisikia umesema umegoma kufanya show wasafi kwa laki tano kwa sababu wasafi wamedharau brand yako kwa kukulipa malipo ya kukufedhehesha. Je unadhani Diamond hathamini wasanii wakongwe?

NATURE: Tunachoma mahindi kwa tochi tunapiga mapokopoko manjari na wanangu Doro Kr yani hapa wanao miss ni MWANANGU Chege na Temba.

MTANGAZAJI: vipi kuhusu Album una mpango wa kuachia Albamu yoyote hivi karibuni?

NATURE: YES ALBAMU INAKUJA MWEZI WA KUMI NA MBILI NTAKUWA N.A. TNC.

MTANGAZAJI: Vipi kuhusu ishu ya wewe kudaiwa kukataa laki 5 ya wasafi?

NATURE: LEO NIPO HAPA RIVERSIDE. HUKU ANAKAA MAMA ANGU MKUBWA, MAMA ANGU MDOGO ANAKAA KIGOGO. NDIO WAMETULEA HAO ENZI HIZO TULIKUWA TUNATOKA KURASINI HADI KIMARA KWA MGUU.

MTANGAZAJI: Una ngoma yoyote ambayo ipo mbioni kutoka?.

NATURE: YES NIPO N.A. NGOMA KIBAO NEXT WEEK NITATANGAZA KUACHIA NGOJA YANGU MPYA.

As you can see above. Juma Nature hataki matatizo na watu ndio maana maswali ya kumgombanisha na watu huwaga ana yajibu ndivyo sivyo. Hii ni akili ya juu sana. Ukiitumia akili hii kwenye maisha yako ya kawaida utajiepusha na mambo mengi sana.

ITAENDELEA
 
MTANGAZAJI: Una ngoma yoyote ambayo ipo mikono.

My country Tanzania
 
MTANGAZAJI: Juma Nature juzi tulisikia umesema umegoma kufanya show wasafi kwa laki tano kwa sababu wasafi wamedharau brand yako kwa kukulipa malipo ya kukufedhehesha. Je unadhani Diamond hathamini wasanii wakongwe?

NATURE: Tunachoma mahindi kwa tochi tunapiga mapokopoko manjari na wanangu Doro Kr yani hapa wanao miss ni MWANANGU Chege na Temba.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom