Wataalamu wa mambo ya kiroho nawaomba haraka

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.

Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.

So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.

Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .

Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.

Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).

Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.

Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako

Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.

Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.

Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar

Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.

Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri

Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .

Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.

Mimi kidogo ndio nina mwanga.

Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?

Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?

Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?

Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.

Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.

Kuna nini hapa?

MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
 
Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia, kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia.

# witches do never abandon their projects.

# hawakubali kushindwa.

# akishindwa yeye anaenda kwa baba ake wa uchawi yani mtu mwenye uchawi mkubwa kumzidi au alie mfundisha uchawi.

# wachawi wana network kubwa sana ndani na nje ya nchi. Akikushindwa yeye ata " faulisha" kazi kwa waganga/wachawi wengine ambao anajua ni wakali zaidi yake.

# katika uganga na uchawi there is a million ways to kill a cat. Akikushindwa kwa 100% uchawi atamiks na ujambazi . Atakutumia jambazi mchawi kumaliza kazi. How? Atakutazama kwenye rada zake za kichawi kujua siku gani na saa gani nzuri wewe kupigwa bomu la kukuondoa duniani. Siku ya tukio hatumii uchawi anatumwa jambazi kuja kukupiga risasi. Huyu jambazi atazindikwa kwanza kabla ya kazi na silaha yake itazindikwa kwanza. N.a. usiku wa kuamkia kwenye tukio litafanywa kafara moja kubwa sana la hatari kaburini ili kukulaani wewe na kutupia jini wa mauti.

# Anaweza kutumwa mtu kukuwekea sumu ya kichawi kwenye chakula au kinywaji. Waganga na wachawi wana knowledge pana sana kuhusu miti mbalimbali ya sumu. Sumu inakuwa slow poison na itakuua kisayansi.

KOSA LAKO NI NINI?

Ni kuwa na mahusiano na watoto wa nduguyo mchawi ambae alitaka kukuua.

Kwanza kitu gani kimekufanya mpaka u wa host watoto wake kwako?

kwa situation kama yako u was supposed to play dead. Or play invisible. Pretend to be weak. ..

u need to.learn and understand the art and science of war.

Tuma nyumbani kwenu taarifa feki kwamba wewe huku mjini unapitia kipindi kigumu sana na probably UNAISHI kwenye chumba kimoja. Kwa kufanya hivyo uta avoid un necessary risks. Hata huyo kaka ako ataona hana sababu ya kukufuatilia kichawi kwa sababu ataamini tayari umefeli.

The guy is playing mind games and intelligence tricks with u. He wants to keep u close so that he can hit with ease
 
LIKUD the great Asante sana
 
Haha! Uafrika ni kazi sana sa ndo maimani gani haya!
Ya kwamba ndugu wanashindwa kuendelea kisa jamaa anawaroga! Mh! Basi sawa kama mmelijua hilo mnasubiri nini kutatua au mmeamua tu kumtupia zigo la lawama mwenzenu kisa amefanikiwa..?
Jitutumueni acheni Imani za hovyo
Ndugu wewe acha tu.
Watu wameona mengi mpaka wanamtupia mtu hizo lawama.
 
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.
Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .
Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.
Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).
Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.
Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako
Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.
Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.
Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar
Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.
Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri
Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .
Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.
Mimi kidogo ndio nina mwanga.
Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?
Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?
Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?
Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.
Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.
Kuna nini hapa?
MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
Cha kwanza usiogope. Yesu Kristo ni zaidi ya jemedari wa vita, anapigania watu wake waishio maisha matakatifu popote pale walipo. Hakikisha unaishi maisha matakatifu, kaa mbali sana na uzinzi au uasherati.

Soma Maandiko matakatifu, ingia kwenye maombi. Yeremia 1:10, Isaya 54:17, Waebrania 12:29, Kutoka 15:3. Muombee rehema bro wako kwa Yesu Kristo ili atafutiwe njia za kutubu, akikataa kutubu, apo Mzee jiandae na vita. Tunaye Mungu anayetupigania na kutushindia vita.
 
Asante sana.
My grand brother ana nyadhifa kubwa tu katika dini ya baba yake.
Akiamua kimfuata Yesu ni kama ataamua kuanza maisha mapya from bottom
Ni sheikh wa wilaya na anakaimu mkoa
 
broh...adui mpe uadui rafiki mpe urafiki...ukitokea moyo wako from no where ukawa haumpendi mtu fulani ... my friends kaa mbali na huyo mtu miili yetu ina uwezo mkali wa kusense hatari lakini kutokana na ujinga wetu huwa tuna puuzia at the last huwa ni majuto...

kamwe usimpe nafasi nyingine adui hata kama mmezaliwa tumbo moja usiweke imani sana juu yake lolote linaweza kukupata.​
 
Nahisi kuna kitu sio bure.
Huyu jamaa ukoo mzima anaogopeka, akipiga simu au kuongea watu hutetemeka. Eti Leo hii ananipigia Mimi tunaongea nusu saa sijui . Nimekaa siku 2 ananitumia sms ya salamu.
Ngoja niingie chamber. Hii scenerio ina jambo
 
Bro huyo ni ndugu wa damu tu ila kiimani yupo mbali na wewe. Ulisalimika mwanzon maana Mungu alikukingia kifua. Rudi kwa Mungu na ombi moja kali. Mwambie Mungu wewe unaona sirini. Kama ndugu yangu amekuja kwa heri tuunganishe kwa upendo wako na ufunguo mlango wa ndugu zangu kukujua na kushinda mitihani ya adui. Lakini ikiwa kaja kwa shari Mungu wa Mbingu zote naomba upigane vita hii na umuangamize adui yangu kwa kukata shina na mizizi ya tatizo bila kuacha hata kigingi. Uharibu roho ya kisasi na kuiteketeza kabisa. Itolee na sadaka ili Mungu afanye kisasi nae kama alivyoapa atakua na vita na Amalek kizazi hata kizazi milele.
 
usimpe nafasi...hata kama una shida shida zitakukomaza ila usithubutu ukamuamini ukamkabidhi na jiko akupikie 🤣🤣🤣 utajua hujui​
 
Bro huyo ni ndugu wa damu tu ila kiimani yupo mbali na wewe. Ulisalimika mwanzon maana Mungu alikukingia kifua. Rudi kwa Mungu na ombi moja kali. Mwambie Mungu wewe unaona sirini. Kama ndugu yangu amekuja kwa heri tuunganishe kwa upendo wako na ufunguo mlango wa ndugu zangu kukujua na kushinda mitihani ya adui. Lakini ikiwa kaja kwa shari Mungu wa Mbingu zote naomba upigane vita hii na umuangamize adui yangu kwa kukata shina na mizizi ya tatizo bila kuacha hata kigingi. Uharibu roho ya kisasi na kuiteketeza kabisa. Itolee na sadaka ili Mungu afanye kisasi nae kama alivyoapa atakua na vita na Amalek kizazi hata kizazi milele.
Nimekuelewa vizuri sana.
Jf forever
 
Back
Top Bottom