Ndoa kiroho ni tendo la ndoa. Wote ulioshiriki nao ndio wake au waume zako

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,592
15,387
Kiroho sio Kisheria.

Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo.

Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo kiroho huku wakiwa na mke au mume mmoja kisheria.

Cha kufanya, mtafute yule aliyekutoa ubikra wako wa kike au wakiume, kisha mwambie Mwenyezi Mungu avunje ndoa zako hizo zote zilizobaki.

Yule ndio mume au mke wako halali wa ndoa kiroho waliofuata hapo hata kama umefunga ndoa kisheria au kikanisa ni michepuko.

Fanyia kazi hii itakusaidia.

Ni hilo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom