kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana! Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
  2. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Huduma za kiroho (Fellowship) kwa Dar

    Habari wanajamii. Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA. Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui mahali nitashiriki Huduma kama Hii hapa Dar. Mimi Nipo Kimara Baruti. Kwa anayefahamu Naomba...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Bora kufa kimwili kuliko kufa kiroho

    Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho CCM inatwala wakati imekufa kiroho Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili inatawala!.. Ndio maana ni ngumu Sana Sana kufanikiwa kwa sasa!!
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sadaka katika mtazamo wa kiroho

    Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani Sadaka pia hutolewa kwenye vilinge vya mambo ya giza Sadaka pia hutolewa kwa masanamu Sadaka pia...
  5. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  6. R

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  7. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  8. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Je? Nyuki wanamaana yoyote kiroho?

    Wakuu Habari ya Majukumu, leo Jioni kuna nyuki wamekuja na kutua kwenye mti ambao uko nyumban kwangu wa kivuli, hapa najiuliza namna gani naweza kuwatoa kwa usalama wa familia yangu, maana nina watoto chini ya miaka 10 wakorofi sana, wasiwasi wangu ni Vipi endapo watawabonda mawe? Na je katika...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya kaanguka Kiroho muombeeni

    KAMA UNACHEZA NA MUNGUU NDUGU HIZI NDIZO ADHABU ZAKO KIFUPI NI ALBADILI YA KIKRISTO Bwana asifiwe...... nakupa kwa uchache tu mistari ya Zaburi 109 kila anayepita njia yako anakutesa... usimjibu kuna namna ya kufanya kisha msomee zaburi hii ... tuanze mstar wa sita.. hiihabaki mtu🤣🖐 6 Uweke...
  10. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  11. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  12. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki kupigana vita vya kutumia nguvu za kiroho Mungu/giza kamwe sahau maisha safi! Utaishia kuwa masikini!

    Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho!! Roho ni nini?

    Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni vema tukajiuliza, roho ni nini? Je, ninyi pia mmekaririshwa tu kwamba roho siyo kitu chenye asili ya...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

    Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

    Words are instrument of creation. Maneno yanaumba. Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga" Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli. Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
  19. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Nguvu za ulimwengu na utakaso wa kiroho

    NGUVU ZA ULIMWENGU. Nguvu za full moon. Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 . Mambo ya kufanya . 👉Kuachilia. Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na mahangaiko ambayo yameweza kukusumbua kwa muda mrefu . Waweza achilia roho ya madeni,roho ya kuchukiwa...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
Back
Top Bottom