MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA
📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
GABRIEL GERALD GEAY AVUNJA REKODI YA TAIFA Huko Milano , Italy na kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki (Japan) kwa kukimbia kwa Muda wa saa mbili dakika nne na sekunde hamsini na tano (2:04:55) na kushika nafasi ya Sita.
Hadi Sasa Tuna wanariadha watatu waliofuzu viwango vya olimpiki.
1...
Bosi wa Uwanja wa Ndege wa Dubai, Paul Griffiths amesema haoni mbadala wa Hati za Kusafiria ‘Passports’ ambazo zitaambatanisha na chanjo za COVID19 ambao hawatakuwa wamechanjwa hawatasafiri
Hatua hiyo imekuwa ikikosolewa kuwa inabagua wale ambao hawana uwezo wa kupata chanjo, lakini Griffiths...
Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...
Habari za wakati huu jamiiforums
C.P.A ya viwango vya kimataifa (A.C.C.A) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A)
Soma>>> Wahasibu, kwanini yanayofundishwa mitihani ya CPA yasiingizwe kwenye mitaala ya vyuoni?
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf...
Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili.
Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA.
Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka nchini humo linavyofanya kazi.
Hatua hii imekuja baada ya waziri wa vijana na michezo kuvunja...
Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka.
Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu,
Wanawake hongereni kwa kutuongoza,
napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo.
Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki.
1. Samsung-Korea Kusini
2. Tecno-China
3. Huawei-China
4. Lenovo-Hongkong
5. Nokia-Finland
6. Blackberry-Canada
Tupieni nyingine
Amani iwe nawe Mama yetu,
Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.
Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu...
Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu.
Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
Mechi kati ya Morocco na Mauritania, kwa wale waliobahatika kuitazama mechi leo...Kuangaza kwangu macho nikamuona fundi wa Sevilla Munir El hadad akichezea timu ya taifa ya Morocco, nikabaki na mshangao...Je, ni mchezaji wa mataifa yote mawili Morroco na Spain kwa pamoja???
God bless you guy's
Kama kuna wakati kiswahili kimejishushia hadhi kimataifa, ni kipindi hiki kwa kuwa na salaam ya utata. Nilimuonea huruma Palamagamba Kabudi akihutubia wageni waalikwa wa nchini na wa-kimataifa wakiuga mwili wa marehemu Mh JPM, huku akianza kwa kuwasalimia " Asalaam aleykum na baadae Bwana yesu...
Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa.
Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru...
Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness” ya Shirika la Afya Duniani (W.H.O)
Jambo kubwa linalofanyika katika siku ya leo ni kukumbushana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.