Total Wampongeza Rais Samia, "Urais wa Samia, Waipaisha Tanzania Kimataifa", Yawahamashisha Watoto wa Kike Kusoma Kwa Bidii, Wawe Kama Samia!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,557
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke, kumeipaisha Tanzania, kitaifa na kimataifa katika safari ya kuelekea kwenye usawa wa kijinsia.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total, Total Network Director, Marieme Sow, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, inachangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanamahitaji sawa.

Marieme Sow amesema, kitendo cha Mama Samia kuwa rais wa kwanza mwanamke kwa Tanzania, na kwa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki na rais wa 4 barani Afrika, urais wa Samia umeipaisha sana Tanzania katika anga la kimataifa, katika kuthibitisha Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, na sio tuu kuthibitisha mwanamke ana uwezo sawa na mwanaume, bali kuthibitisha kuna wanawake wana uwezo kzaidi ya wanaume ila wamekuwa wanakosa fursa sawa kwa sababu tuu, wao ni wanawake, Rais Samia ni uthibitisho wa uwezo wa mwanamke, “the power of a Woman”

Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Total Tanzania, Marsha Msuya Kilewo, amesema Total Tanzania inaamini uwezo wa wanawake na kuthamini mchango wa wanawake kwa maendeleo ya taifa, ndio maana imejiunga na Taasisi ya Flaviana Matata, kuunga mkono juhudi zozote za kuwajengea uwezo sawa watoto wa kike, na kwa kudanya kampeni ya mwezi mzima, ukijaza Mafuta kituo chochote cha Total Tanzania, unakuwa umesaidia kuchangia maendeleo ya wanawanake wa Tanzania.

Marsha amesema kila mwezi, watoto wa kike hukosa shule siku 5 – 7 kwanapokuwa kwenye siku zao kutokana na kukosa taulo za kike, hivyo kukosa masomo kwa siku 60 – 84 kwa mwaka ambazo mwanafunzi wa kike hukosa masomo kwa kushindwa kununua taulo za kike.

Kwa upande wake, Flaviana Matata, aliishukuru kampuni ya mafuta ya Total kwa kuunga mkono kampeni yake kuwajali watoto wa kike wa Watanzania, na kusema, “Ukimsaidia mtoto wa kike, ni umeisaidia kumtengeneza Samia mwingine, na kuwasisitizia wanafunzi hao wa Jangwani, kusoma kwa bidii, ili Tanzania tuweze kupata akina Mama Samia wengi zaidi katika sekta zote”

Mwakilishi wa Mamlaka ya Elimu nchini TEA, aliipongeza Total Tanzania na Flaviana Matata Foundation, kusaidia watoto wa kike mashuleni, na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo kwasababu bado mashule yanakabiliwa na changamoto mbalimbali.

Kaimu Mkuu wa shule ya Jangwani, Mwalimu, aliishukuru Total Tanzania na Flaviana Matata Foundation, kusaidia shule yao, na kusisitiza msaa huo ni muhimu sana, na sio kwa watoto tuu wa familia masikini, lakini hali hiyo huweza kumtokea mwanafunzi mwingine wakati wowo akiwa hakujiandaa, na kuharibu concentration yake kwa kukosa confidence na kuwaza atafanyaje, hivyo msaada huo unarejesha tabasamu la mtoto wa kike kusoma kwa uhuru wakati wote bila wasiwasi wowote.

Mwalimu alitumia fursa hiyo, kuendelea kuomba misaa kwa jamii, kufuatia shule ya Jangwani kupokea wanafunzi wenye mahitaji maalum ya ulemavu wa viungo, wanafunzi hao wenye mahitaji maalum, bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohusu jamii kuwasaidia, hivyo aliomba taasisi nyingine ziinge mfano wa Total Tanzania katika kusaidia jamii.

Wanafunzi waliogawia taulo hizo, nao walishukuru kwa furaha, na kuahidi kusoma kwa bidii na wao kuja kuwa kama Mama Samia
1618757840291.png

Hii ni picha ya baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani. Jee unaweza kumtambua nani kati ya hao sio mwanafunzi Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total nchini Tanzania, (Total Network Director) , Bi Marieme Sow, (aliyekaa mbele ya mti) akiwa amejichanganya na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, na kupose kama mwanafunzi, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki.
Total Jangwani 3 (1).jpg

Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total nchini Tanzania, (Total Network Director) , Bi Marieme Sow, (Mwenye gauni jeupe), akiwa na Mwanamitindo, Flaviana Matata, ( katikati) na Ofisa mawasilano wa Total, Zoe Okoedion (Kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki.
Total Jangwani 4 (1).jpg

Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Total Tanzania, Marsha Msuya Kilewo, akigawa taulo za kike kwa mwanafunzi wa Jangwani wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki.
Total Jangwani 5 (1).jpg

Mwana mitindo Flaviana Matata, akimsaidia mwanafunzi wa Jangwani wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki
Total Jangwani 6 (1).jpg

Wafanyakazi wa Total Tanzania na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation katika picha ya pamoja na waalimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki
Total Jangwani 7 (1).jpg

Wafanyakazi wa Total Tanzania na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation katika picha ya pamoja na waalimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki
Total Jangwani 8 (1).jpg

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakifurahia kugaiwa bure taulo za kike, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki
Total Jangwani 9 (1).jpg

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakifurahia kugaiwa bure taulo za kike, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki
Total Jangwani 10 (1).jpg

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani wakifurahia kugaiwa bure taulo za kike, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wik
Total Jangwani 2 (1).jpg

Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total nchini Tanzania, (Total Network Director) , Bi Marieme Sow, (anayeonekana kwa nyuma) akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, linaloendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, ambapo Total Tanzania, imechangia ununuzi wa taulo hizo na kuzigawa bure kwa wanafunzii wahitaji kutoka familia masikini katika kuwasaidia kuwa sawa na wanawake wengine wote kwasababu wanawake wote, wanamahitaji sawa bila kujali uwezo, utajiri au umasikini. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki.

Asante
Paskali

Total Jangwani 1 (1).jpg
 
What is going on around the sign is usually as important for us to know as the sign itself in order to interpret its meaning. Semiotics is a key tool to ensure that intended meanings (of for instance a piece of communication or a new product) are unambiguously understood by the person on the receiving end
Katika tukio hili la leo TOTAL imetumia fursa kutuma ujumbe.

Kampuni ya kimataifa iliyokuwa inafahamika ni ya 'mabeberu' huko siku za nyuma, sasa TOTAL ya France inatambua 'muonekano ' wake mpya Tanzania na mchango wake kama mdau wa maendeleo katika mazingira mapya rafiki ya kibiashara ktk awamu hii ya sita hautakuwa tena wa kubezwa bali kukubalika kama ni wa mwekezaji rafiki.

Nada (Roddy Piper), a wanderer without meaning in his life, discovers a pair of sunglasses capable of showing the world the way it truly is. As he walks the streets of Los Angeles, Nada notices that both the media and the government are comprised of subliminal messages meant to keep the population subdued, and that most of the social elite are skull-faced aliens bent on world domination. With this shocking discovery, Nada fights to free humanity from the mind-controlling aliens.
 
Back
Top Bottom