kimataifa

  1. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

    Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa? Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
  2. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Keki kwa wenye pesa zao

  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu. Sitaki maswali .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kisera na Kisheria inayosimamia tasnia ya Habari Kimataifa

    Mikataba mbalimbali ya kimataifa, bara na kanda inalinda tasnia ya habari, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu kutoingiliwa na Serikali. Mikataba hiyo inaweka wajibu kwa Serikali kufuata, kuendeleza, na kulinda uhuru wa kutoa maoni na kujieleza. MIKATABA YA KIMATAIFA TAMKO LA...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TUSIJIDANGANYE NA KILIMO: Tunachumia tumbo tu ila kwa kimataifa tumeachwa mbali sana

    Iliobaki ni kudanganyana na kuibiana yaani hakuna faida hata ya kuwa na waziri wa kilimo,wa nini? hana jipya wala uwezo wa kutufanyia lolote, kama ni mbio tumeshapitwa na tumeshachoka utampitaje alie kupita? Mazao yetu hayana kiwango cha kuuzwa nchi zanje kwa sababu wizara ya Kilimo wao ni...
  6. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru ICC-Mahakama ya Kimataifa kwa kunijibu na kunipa mwongozo wa kumshitaki Rais kuvunja Katiba ya Nchi

    ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu: Waandishi wa habari 42 wameuawa wakati wakitekeleza majukumu yao

    Ripoti mpya ya kila ya mwaka ya Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari IFJ, lenye makao yake nchini Uholanzi, inasema waandishi wa habari 42 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameuwawa wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mwaka huu pekee. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa jana...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Human Rights Day is observed every year on 10 December — the day the United Nations General Assembly adopted, in 1948, the Universal Declaration of Human Rights (UDHR). The UDHR is a milestone document that proclaims the inalienable rights which everyone is entitled to as a human being -...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu

    Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) linaitumia siku ya Desemba 3 kama siku ya kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Siku hii iliazimiwa mwaka 1992 ikiwa ni siku ya kuangalia namna ya kuwawezesha walemavu na kuwashirikisha kwenye mambo ya kijamii UNESCO...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taarifa kamili kuhusu kuwasili kwa klabu zetu za Simba na Yanga katika Michuano ya Kimataifa na ile ya Kienyeji

    Simba SC Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

    Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na...
  14. Consultant

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

    Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi. Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Niwaombe Watanzania "yeyote anayepita jamii za kimataifa kutuombea njaa" tumuone ni mhaini

    Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi. Nilivyokuwa mdogo niliwaza sana kufanya kazi katika taasisi kubwa za nchi hii kwa maana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

    WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI AWAJIBU MABEBERU, HATUJAWAHI KUPIGISHWA MAGOTI, UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi aijibu EU - Umoja wa Ulaya kufuatia kikao cha bunge hilo la ulaya huko makao makuu ya EU kutishia uwezekano...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nchi isipotii amri ya viongozi wake kufika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, huchukuliwa hatua gani kulazimisha?

    Naomba kujuzwa ni hatua zipi huchukuliwa na mahakama hii kuhakikisha watuhumiwa wanaotakiwa kufika mbele ya mahakama hii wanafika mahakamani. Kwa mfano, Raisi wa nchi alieko madarakani anapotakiwa kufika katika hii mahakama na akagoma kwenda, ni utaratibu gani hufuata kuhakikisha anapanda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

    Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika. Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tamko la kimataifa la haki za binadamu -:( Sehemu ya 2)

    IBARA YA 16: (1)Wanaume na wanawake waliotimiza umri wa utu uzima, bila kujali uasili, uraia au dini wana haki ya kuoa na kuolewa na kuanzisha familia, wanapaswa kuwa na haki sawa katik ndoa.wakati ndoa inaendele au ikivunjika. (2)Ndoa itafungwa tu pale wanandoa watakapokuwa wamekubali kwa hiari...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Novemba 16 Siku ya Kimataifa ya Uvumilivu (ustahimilivu)

    International Day for Tolerance is marked on November 16. As the name suggests, the day is observed to build tolerance among the cultures and people. The day was started by the United Nations General Assembly. The main aim behind starting this day was to make educational institutions and people...
Back
Top Bottom