Hongera Rais Samia Suluhu Hassan, Sasa rasmi, Tundu Antiphas Lissu amekusafishia njia Kimataifa

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe nawe Mama yetu,

Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.

Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu yanakujenga vizuri ndani na nje.

Napenda kukwambia Rais wetu, Tundu Antiphas Lissu katika kipindi cha jana katika channel ya Voice of America, amekusafishia njia, sasa ni wewe tu kufanya yale mazuri Yaliyo moyoni kwako.

Najua unaendelea kusafisha nyumba yako ili maono yako juu ya Tanzania Nzuri yenye maendeleo na mafanikio tele yapate kutimia. Naomba Mama yetu usiache kusafisha nyumba yetu hasa kwa wale watu waliochafua taswira juu ya nchi yetu huku nje, Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.

Kwenye uchumi usiacha kushughulika na tabia zile za kufungia biashara , kufirisi makampuni na kufanya uwekezaji ushuke Tanzania na watu wakose ajira
 
Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.

Usisahau mashekhe wetu zaidi ya mia moja wakiweno mashekhe wa zanzibar waloekwa ndani kwasbabu tu ni waislamu, mashekhe na wanasema au walisema ukweli
 
Kwa watu wote, kwani bodi inakata watumishi wa serikali pekee? mbona nyie wabinafsi sn?
Hata wewe waweza kuomba hivyo kama usemavyo kwa watu wote, ila mie nimeomba MABORESHO kwa watumishi wa UMMA hasa kwenye "retantion fee" ina maumivu sana
 
Amani iwe nawe Mama yetu,
Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.

Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu yanakujenga vizuri ndani na nje.

Napenda kukwambia Rais wetu, Tundu Antiphas Lissu katika kipindi cha jana katika channel ya Voice of America, amekusafishia njia, sasa ni wewe tu kufanya yale mazuri Yaliyo moyoni kwako.

Najua unaendelea kusafisha nyumba yako ili maono yako juu ya Tanzania Nzuri yenye maendeleo na mafanikio tele yapate kutimia. Naomba Mama yetu usiache kusafisha nyumba yetu hasa kwa wale watu waliochafua taswira juu ya nchi yetu huku nje, Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.

Kwenye uchumi usiacha kushughulika na tabia zile za kufungia biashara , kufirisi makampuni na kufanya uwekezaji ushuke Tanzania na watu wakose ajira
Noted
 
Cdf Mabeyo kaonyesha kidogo tu katiba kusimamiwa mama Samiha kupata alicho stahiki vivyo katika chaguzi Igp Sirro aachane ma kubeba kura za wizi kuzuia mikutano
 
Amani iwe nawe Mama yetu,
Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake.

Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu yanakujenga vizuri ndani na nje.

Napenda kukwambia Rais wetu, Tundu Antiphas Lissu katika kipindi cha jana katika channel ya Voice of America, amekusafishia njia, sasa ni wewe tu kufanya yale mazuri Yaliyo moyoni kwako.

Najua unaendelea kusafisha nyumba yako ili maono yako juu ya Tanzania Nzuri yenye maendeleo na mafanikio tele yapate kutimia. Naomba Mama yetu usiache kusafisha nyumba yetu hasa kwa wale watu waliochafua taswira juu ya nchi yetu huku nje, Upande wa mashtaka kwa kesi za kubambikiza juu ya raia na wanaharakati, wale walionyanyasa watu kwa kuteka watu, kuwaweka ndani na kuwashtaki kwa makosa ya uongo ,pamoja na wale waliominya uhuru wa vyombo vya Habari.

Kwenye uchumi usiacha kushughulika na tabia zile za kufungia biashara , kufirisi makampuni na kufanya uwekezaji ushuke Tanzania na watu wakose ajira
Kufirisi ni nini? Au unamaanisha kufilisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom