kimataifa

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu vizuri haki zako kama binadamu? Tamko la kimataifa la haki za binadamu -LHRC ( sehemu ya 1)

    Binadamu wote wamezaliwa na haki sawa na uhuru wa kimsingi. Katika tamko la haki za binadamu, umoja wa mataifa umeeleza kwa lugha rahisi kabisa haki ambazo zinampasa kila mtu kuwa nazo na kwa usawa. Hizi haki ni zako. Haki hizi ni mali yako, zijue haki hizi, saidia kuzieneza na kuzitetea kwa...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwekewa "mbinyo" na Jumuiya ya kimataifa, ndiyo njia pekee iliyobaki inayoweza kuiokoa nchi yetu katika anguko la kidemokrasia

    Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  5. kidadari

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

    Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
  10. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

    Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu World cup. Mataifa ya africa afcon. Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia. Kwenu CCM tunaomba timu ya ushindi muiingize kambini iboreshe mbinu nyingi zaidi. Watanzania tumechoka kua...
  11. Securelens

    JamiiForums Tanzania Repoti za Waangalizi wa Kimataifa zaeleza kwamba Uchaguzi nchini ulikuwa Huru na wa Haki

    Repoti za Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa zimeeleza kuwa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 28 na mchakato wake wote ulikuwa huru na wa haki. Miongoni mwa Taarifa zilizotolewa jana mbele ya waandishi wa habari ni pamoja na repoti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo timu yake iliongozwa na...
  12. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam! Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

    Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni 136.85. Akizindua ujenzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

    Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
  15. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetajwa rasmi kimataifa kama 'failed state'

    Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na Umuhimu gani kuwa na Tamasha Kubwa la Kisiasa katika Uwanja muhimu wa Mpira ambao tarehe 11 Oktoba utatumika Kimataifa?

    Halafu tukiwa 'tunawakosoeni' mnatuona Sisi ni Wanafiki au Rangi Mbili au tuna Chuki nanyi au tunatumika na Mabeberu. Na Mimi wala sitochoka kuwaambieni ukweli na bahati nzuri Mimi ninayewasema ni Mwenzenu 'Kiitikadi' tena kwa 100% na hili wala silifichi au sioni 'haya' kulisema ( kuliweka wazi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msioolewa bahati iliyoje hii Mshindi wa 'Tuzo' ya Kimataifa 'amechoka' sasa kuwa 'Single' na anamtafuta Mwenza wake wale Kuku!

    "Panya Magawa yupo 'single' kwa sasa, kwenye vitengo kuna panya maalum kwa ajili ya kuzalishaji na tunawatambulisha kwamba huyu ndiyo mwenzake kama atakubali sawa maana anaweza kukataa na utaona dalili, na kama wamekubaliana utaona dalili za makubaliano yao," Mkufunzi wa Panya Magawa, Pendo...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Robert Amsterdam ni nani?

    Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma kuhusu huyu mtu yamenishitua. Kwa kifupi imeelezwa kwamba Bw Amsterdam ni wakili wa kimataifa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Fomunyo aitaja Tanzania kama miongoni mwa nchi ambayo demokrasia yake imeteteleka

    Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
Back
Top Bottom