kimataifa

  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
  4. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje kiungo wa kimataifa wa Uganda khalid aucho hajatambulishwa

    Habar wa sport, Leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu nje ya uwezo wao, si angetajwa jina tu. Kwahivyo tuamini, kweli amesajiliwa?.
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Taliban na Afghanistan: Nini hatima yake machoni mwa kiitwacho Jumuiya ya Kimataifa

    Talibani Na Afghanistan. Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)? Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38. Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani? Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

    Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano. Kitendo cha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  8. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Faida ya Nchi Kutangazwa Kimataifa?

    Habari Yenu wakuu Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo. Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" . Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi. Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua...
  9. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

    Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua mbinu za NGOs itakuwa ngumu kumchafua kimataifa

    Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana. #CNNachauongo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  14. Kigoma Independent

    JamiiForums Tanzania Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

    Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu. Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana. Rayvanny na Mayorkoun...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania iweje ndege ya Uganda ichelewe masaa mengi kisa mafuta kwenye uwanja wenu wa kimataifa? Mjitafakari kwa kweli

    Taarifa kama hizi ni za aibu kwa uwanja wa kimataifa unaopigiwo chapuo humu kila siku. Lindege lote hili na abiria wake wameganda masaa kisa mafuta.... Afrika bana The airlines said the delay was affected by a mix up in delayed fuel delivery to the Aircraft at the airport. PHOTO/ FILE...
  17. folota

    JamiiForums Tanzania TBC tunataka kuona mechi za kimataifa kama nchi nyingine

    Jana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi isiandae mashindano ya kimataifa?

    Ukitazama Mikataba ya Azam TV kwa mpira wa Tz unaona kabisa mabilioni mengi yanawekeza kwenye mpira wa Simba na Yanga tu... Wakati zipo nchi hazina uwekezaji huo lakini zinaaandaa michuano ya kimataifa.. Kwanini hatufikirii kuandaa Africa nations cup? Au world cup under 20? Au common wealth...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia, mazishi ya Kaunda

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda. Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
Back
Top Bottom