kikwete

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

    Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana. Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Za kuambiwa changanya na za kwako!

    Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako" Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu Tunakumbushana tu. Maendeleo hayana vyama!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ila Kikwete ana kifua

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mnakumba kampeni ya uchaguzi mkuu 2010 kuna mwanasiasa fulani jukwaani tena live mubashara kwenye TV alimtukana wazi wazi mama mzazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete eti hana adabu kwa kumlea vibaya Kikwete. Cha kushangaza Jakaya alimpotezea wala...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu. -- TANZIA Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Tukimalizie kiporo alichokiacha Kikwete

    WAKATI WA KIKWETE TULIACHA KIPOLO, TUTAKIMALIZIA WAKATI WA MAGUFULI! Mwishoni mwa mwaka jana tulipotangaza adhma ya kuandaa "Matembezi ya Hiyari" kuanzia Januari 2021 kwa lengo la kuuhamisha umma ili kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, wapo watu waliokuwa na wasiwasi kama...
  6. Lambardi

    JamiiForums Tanzania Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

    Salaam kwenu heshima mbele! Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya. Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kwenu kuwa Ridhiwani Kikwete atatufaa sana Urais baada ya Magufuli

    Wanabodi, Miaka mitano ya Rais John Pombe Magufuli si mingi. Itaisha muda si mrefu. Ninajua 2015 vijana wengi wa CCM walijitokeza kuutaka Urais wakiwemo January Makamba, Mwigulu Nchemba hata Hamisi Kigwangala lakini wote waliangukia pua baada ya kuachwa kwenye mchujo. Kwa mwaka 2025 kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa. Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama...
  9. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Azam FC wangeufuata ushauri wa Kikwete yasingewakuta haya.

    Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita. Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy'...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika nafasi zao. Rais amemteua mbunge mwingine mpya - Bi. Saada Mkuya Salum Imeelezwa kuwa tukio hili...
  11. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete, SUK Zanzibar na Tido Mhando ni Uthibitisho kwamba nchi hii,mabadiliko ni magumu mnoooo!

    Hebu Jiulize! 1. Rais Mstaafu Kikwete kwa utashi wake binafsi aliamua watanzania wapate katiba mpya ( suala ambalo halikuwa hata kwenye ilani ya CCM ). Akatumia mamlaka yake kuunda tume ya Warioba na wakafanya vizuri sana. Likatokea genge likaona linapokonywa keki ya taifa, likapora mchakato...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Soko la ajira limekuwa gumu kiasi kwamba, ufaulu wa darasani pekee hautoshi kukupa ajira

    Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje ya boksi. Programu hii ya kujengea uwezo wasomi wetu ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  14. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    "Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

    Amani iwe nanyi wadau. Heri ya siku ya jumapili!! Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia 1. Emerson Mnagangwa Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mlitaka Geita isipate Uwanja wa ndege?

    Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza. Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita, najiuliza kweli mtu atoke Geita town na viunga vyake aende kupanda ndege chato badala ya Mwanza? Kwanini...
  19. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

    REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu! Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
Back
Top Bottom