Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,490
- 5,525
Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mtu ambaye ninaamini kwamba kila ninachowaza ni sahihi
Kipimo cha Ubora wa Kiongozi sio vitu kama madaraja,barabara,nyumba etc.Hivyo nivitu viddogo sana ambavyo vinafanywa na wataalamu wa maeneo husika cha muhimu ni PESA ziwepo.
Kipimo cha Kiongozi yoyote yule wa ngazi yoyte ile ni uwezo wake wa kuzalisha viongozi.
Katika kipimo hiki,Magufuli amefeli sana,Yaani kama ni mtihani amepata sifuri,na carry humo humo.
Nasema kwa sababu najua ninachosema na kuona kinachoendelea.Magufuli hajaweza kuzalisha hata KIONGOZI mmoja katika kipindi cha Uongozi wake na hata wale viongozi wachache alioachiwa nao amewaharibu na kuwavuruga vuruga mpaka hata hawajielewi tena.Tumekuwa na RAIS wa ajabu sana kwa kipindi hiki cha miaka mitano.
Najua kuna ambao wanataka kumlinganisha na JK.JK amezalisha Viongozi wengi sana.Amewajenga na kuwakuza viongozi wengi sana kwa kuwapa fursa na kuwajengea uwezo.
Tusimlinganishe Kikwete na itu vya ajabu bwana.Nawashangaa sana wanaojaribu kumfananisha mzee wa Msoga na watu ambao wamebaki na Nchi ambayo ni FAILED
Tuache kuwa wanafiki.Magufuli hastahili hata kufunga lijamu ya kiatu cha Kikwete.Amalizie tu uongozi wake apishe mtu mwingine ambaye ataweza kurudisha heshima ya taifa letu.
Kama unabisha weka evidence hapa