Uchaguzi 2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,652
2,000
Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi .

Sasa kama chakula kimewekwa mezani halafu una njaa ya kufa, utashindwa kula? Kwenye Biblia Esau aliuza haki yake ya kuwa mtoto wa kwanza kwa nduguye Yakobo kwa sababu ya chakula baada tu ya kuzidiwa na njaa!

Njaa haina baunsa! Ni vizuri kuingia kwenye siasa ukiwa umejitosheleza! Badala ya kuingia huko kwa sababu tu wewe ni mbwa mkali na unayebweka sana. Siku ukitupiwa tu pande la nyama, utajikuta kubweka kote kunaisha mara moja.

Mifano ni mingi, muda ni mchache! Salamu nyingi kwa Dr. Slaa na wenzake wengi.
 
RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
2,601
2,000
Kheri ya hawa wamethubutu wewe ambaye umejificha nyuma ya jina bandia ndiye mpumbavu kabisa, mwonga na dhaifu unayetuchelewesha kwenda
Mimi niko site nawafukia mazwazwa pamoja na Zwazwa mkuu huku Kigoma, ambae analalamika bei ya umeme iko juu kuliko hata UK and US wakati yeye anamadaraka yote.
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,769
2,000
Hapana niupumbavu kuomba upewe ridhaa yakupeperusha bendera kisha unajito, wakati kuna watu wengine waliitaka nafasi hio lkn ukapewa wewe, halafu mwisho wasiku unajitoa.
Kama wazazi wako waliachana shida nini sasa hapo?
 
Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,724
2,000
Sasa kama chakula kimewekwa mezani halafu una njaa ya kufa, utashindwa kula? Kwenye Biblia Esau aliuza haki yake ya kuwa mtoto wa kwanza kwa nduguye Yakobo kwa sababu ya chakula baada tu ya kuzidiwa na njaa!

Njaa haina baunsa! Ni vizuri kuingia kwenye siasa ukiwa umejitosheleza! Badala ya kuingia huko kwa sababu tu wewe ni mbwa mkali na unayebweka sana. Siku ukitupiwa tu pande la nyama, utajikuta kubweka kote kunaisha mara moja.

Mifano ni mingi, muda ni mchache! Salamu nyingi kwa Dr. Slaa na wenzake wengi.

Achana na njaa ww
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom