Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.
Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii.
Wakisoma...
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
Nimeona umepost video nyingine kwa kutumia ukurasa wa “Msemaji wa Serikali” ukidai katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025 (National Development Vision 2025) ambao ulisainiwa na kuanza kutumika kipindi cha Mkapa hakuna sehemu inataja tunahitaji kufikia kipato cha kila mtu cha USD 3,000.
Kila...
Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu.
Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete...
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia...
Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu...
Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo.
Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali.
Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa...
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete leo amefika kwenye makazi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamini Mkapa, pamoja na mambo mengine amezungumzia kumtembelea Mkapa jana hospitali wakati anaumwa.
Kikwete: Jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza sana. Alikuwa na maumivu lakini...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili...
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi.
Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
Asikudanganye mtu eti mambo anayofanya Rais Magufuli yanakuza GNI. Hakuna kitu kama hicho na ndiyo maana katika utawala wake wa miaka mitano (5) ya mwanzo amepata matokeo ya hovyo kabisa kwenye GNI. Haiwezekani pamoja na kelele zote, sifa zote anazopewa na wasaidizi wake then akuze GNI kwa...
Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi.
Chanzo: ForeignTanzania
Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
Wakati MATAGA mkishangilia sana ni kuwa Rais Magufuli hajafanya chochote zaidi ya siasa ambazo jana tu nilimuweka kundi la watu wasio jua kuweka facts huku nikimpa namba 1.
Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005 GNI ilikuwa 500USD ila mwaka 2010 pamoja na kupigwa makombora kila kona GNI...
Kama wewe ni mwanaccm na kama unajijua kwamba ulibebwa na Kikwete na Kinana au Makamba basi unapaswa kufahamu kwamba muda wako katika cheo ulichonacho unahesabika , na ni vema ukaanza kujiandaa mapema kabla ya panga kukufyekelea mbali .
Na kama ulitarajia kugombea chochote kwenye uchaguzi ujao...
Kama baadhi ya watu wanavyoamini kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi na Mazuri kuliko Kikwete, ndivyo hivyo ninavyoamini Mimi kuwa Atakayefuatia baada ya kipindi Cha miaka kumi cha uongozi wa Magufuli kumalizika, atakuwa Bora kuliko Rais wa Sasa na ataifanyia Tanzania mambo makubwa kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.