kikwete

  1. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

    Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata. Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma

  3. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Well done Jakaya Kikwete

    Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician. Amepitia mengi, mazuri na mabaya. Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete. Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama...
  4. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

    “Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Tayari Samia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  6. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anajua kuwa Jesca Kishoa sio Mbunge

    Kama ulifuatilia taarifa ya Mh Ridhiwani wakati mbunge wa Ndugai anatoa hoja yake utagundua jambo. Alianza kwa kusema, mh Naibu Spika, napenda kumpa taarifa ndugu Jesca Kishoa... Hiyo inamaanisha kuwa ndani ya bunge na kati ya wabunge wale wako ambao hawaitambui ile timu ya wabunge 19...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia naifananisha na ile ya Mzee Kikwete alivyoingia madarakani

    Wakati Mhe. Rais kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alitoa hotuba safi sana, ambayo kweli tulikuwa na matumaini ya kuwa na Tanzania mpya, na yenye maendeleo ya kasi. Aliongelea mambo mengi ikiwepo uwekezaji, na kujali wawekezaji, kweli milango ilifunguliwa tulipata wawekezaji wa kila...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

    Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa " Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM. Kikwete aliweka hili...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Uwanja unaochezwa Ramadhani Cup unaoitwa Jakaya Kikwete ulioko Kariakoo umejengwa na nani?

    Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe? Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la wasaidizi wa Rais Samia, namtetea Rais Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mheshimiwa Jakaya Kikwete Rais wa awamu ya nne amekuwa akishikwa uchawi siku za karibuni baada ya kifo cha Rais wa awamu ya Tano John Magufuli. Zinatembea mitandaoni sauti za kurekodiwa (audios) pamoja na zile za Youtube zikimshambulia Mzee wa Msoga kama vile ni mhusika wa yaliyolikuta taifa...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kikwete hakuwa mwizi, Ila mfumo uliachwa na Mkapa ulimzidi nguvu

    Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri. Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
  12. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Mzee Kikwete na wazee wenye hekima na Busara itisheni kikao maalumu Cha Wazee wenye busara wa CCM pamoja na Samia

    Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya, Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati. Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine. Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa. Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya J. Kikwete unawafundisha wana CCM tuwe wakweli

    Mhe. Rais Mstaafu J. Kikwete ameandika katika ukurusa wake wa Twitter maneno haya; Ndoto ya wananchi nikuona vijana wanapata ajira na maslahi yanayoendana na Hali ya uchumi ya Sasa. Nikipata nafasi yakuzungumza na Rais sitasahau kumweleza haya. Je, Mzee anawashwa Kama akina Hapi, Makonda na...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ukilitazama vyema Baraza 'jipya' la Mawaziri, Mzee Kikwete 'ameshaini' ila Mwendazake ametikisiwa 'ngome' yake

    Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hawa Waganga Njaa wanaoishi kwa majungu aliowasema Kikwete siyo Chadema kweli?

    Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu. Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st? RIP...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

    Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni; (i) Kugusa maisha ya wengi (ii) Kusifiwa akiwa hai (iv) Kuondoka wakati bado anahitajika. Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

    JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5! Kikwete amesema alipokea majina 38 ya waombaji wa urais na yeye binafsi akayapitia na kupata orodha ya majina 5 ambayo aliyapeleka kamati...
  19. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

    Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa... “Ukitaka Mambo yako yafanikiwe, Haki ya Mungu, Fulani na fulani kaa Mbali nao! Mwishowe kasema, “Tengeneza adui...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tanzania ipo katika mikono salama

    RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameeleza namna alivyopata ugumu kupokea taarifa kuhusu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, lakini akasema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa Tanzania ipo katika mikono salama. Kikwete aliyasema hayo jana kupitia ukurasa wake wa twitter...
Back
Top Bottom