kikwete

  1. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

    Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti? Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Mzee Kikwete alisikia kilio cha Katiba Mpya, lakini walewale waliokuwa wanadai walikimbia

    "Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia, mazishi ya Kaunda

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda. Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

    Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa. Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
  7. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania President Samia’s 100 days, a glimmer of optimism

    She took the office in top tore Mourning the untimely departure Of her friend and predecessor But remained calm, strong and firm Hit the ground running Right from the word go She showed leadership Heroic and courageousness Assured the doubting Thomases Though a woman by gender She was the...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi Wakihutubia, kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

    Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali. Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu. Nimeangalia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

    Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

    Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana. Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha. Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

    Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu". Maneno haya yana maana kubwa sana yanapokaa mgongoni mwake...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Mstaafu Kikwete akiongea Kiingereza hatetemeki?

    Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa. Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho...
  14. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kutokana na utoaji hafifu wa Elimu nchini, kuna hatari ya nusu ya ajira zilizopo kutoweka ifikapo mwaka 2050

    Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameonya tusipobadilika namna tunavyofundisha watoto wetu basi ajira zote zitatoweka ifikapo mwaka 2050. My take. Hii elimu yetu ya kuwafanya chadema washangilie kila baya linaloipata nchi yetu ikiwemo kukamatwa ndege, miradi kukwama ...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  17. thetallest

    JamiiForums Tanzania Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

    Wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia, ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu mpaka ilipelekea Mzee Mwinyi atengeneze nafasi ya naibu waziri mkuu na nafasi hizo na ile ya wizara...
  18. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete aliwahi kulalamika kutengwa na majirani zetu, siyo wa kuwaamini sana

    Mimi binafsi Kuna mengi ambayo nimefurahi hasa kwenye ziara ya Mama huko Kenya, ikiwemo kuwauzia gesi maana tutapata faida kubwa. Kikwete anahesabika moja ya maraisi wapole,wenye busara na diplomasia ya Hali ya juu. Lakini pamoja na yote hayo Mh. Kikwete aliwahi kupata shuruba ya Hawa majirani...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  20. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
Back
Top Bottom