kikwete

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

    Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu. Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu. Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

    wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania. Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya wagonjwa wa moyo yapungua JKCI kwa hofu ya COVID-19

    Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa ili kuepuka kupata madhara ya kiafya ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. Rai hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
  6. The Boss

    JamiiForums Tanzania Clip ya Kikwete ya mbayuwayu speech

    Mwenye Ile clip ya siku Ile Kikwete ana simulia story ya mbayuwayu na Ndo akatoa mseme huu maarufu umekuwa wa kila siku. Akili za kuambiwa changanya na zako.. Naomba mwenye clip aiweke hapa.. Naona Kikwete ametupa urithi wa huu msemo utakao last mda mrefu kuliko vingi alivyofanya..
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii. Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa...
  8. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Nyerere hatunaye nawaomba Wazee waliobaki akina Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanisaidie kunijibu hapa!

    Je, na Wao nyakati zao Majirani zetu Wapendwa walikuwa wakiwachoka au labda wakiwaona hawaeleweki au wakionekana ni Wabishi, Viburi, Jeuri, wenye Dharau na Wakorofi kiasi kwamba labda na Wao kuna muda walijukuta wanafungiwa mipaka na hata wakitengwa katika Mambo ya Ustawi na Maendeleo? Sina...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu amtuhumu Kikwete kumfungulia kesi ya ufisadi kwa uonevu kwa unyemela aliosimamia mwenyewe akiwa waziri Mambo ya Nchi za Nje

    Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

    Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

    Rais mstaafu mzee Mkapa amesoma salamu za rambirambi kutoka kwa Rais Magufuli katika msiba wa Mzee Moi. Mzee Mkapa amesema yeye binafsi amefanya kazi na Mzee Moi kwa miaka 7, akiwa na Rais na mzee Kikwete aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mkapa amesema Rais Magufuli amewatuma wao wawili kama...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marais wastaafu wa Tanzania Mkapa na Kikwete kushiriki mazishi ya Daniel Arap Moi leo

    MARAIS wastaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wageni mashuhuri, watakaoshiriki mazishi ya kitaifa ya Rais wa zamani wa Kenya, Daniel Arap Moi, yakayofanyika nchini humo leo. Serikali ya Kenya imetenga siku ya leo kuwa ya mapumziko, ili kuwapa nafasi Wakenya...
  14. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

    Rais wa Pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya asubuhi ya leo. Mzee Moi amefariki leo Februari 04, 2020 alfajiri saa 11 na dakika 20 (5:20am) akiwa na umri wa miaka 95 (ingawa aliyekuwa katibu wake, Lee Njiru amesema...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kikwete sasa kiongozi wa EAC ni Kenyatta

    Baada ya Kikwete kuondoka kiongozi wa EAC kwa wenzetu wanamwona ni Kenyatta. Magu jitahidi kuchukua nafasi hii Kenyatta akiondoka. Kikwete alijitahidi na kuheshimiwa sana. Sasa mambo ya nje tumebaki na vikwazo kila siku hakuna hata statement ya kinachoendelea
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

    Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri. Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji. Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Dr Kikwete ana " Ngekewa" CCM inapendwa kwa sababu yake

    Nimeyakumbuka ghafla maneno ya Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba katika moja ya mikutano mikuu ya CCM, alisema ".....kiukweli Dr Kikwete ana Ngekewa na chama chetu kinapendwa kwa sababu yake" Sina hakika na ukweli au usahihi wa maneno ya mzee Makamba ila nimeyakumbuka tu. Maendeleo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

    January 19, 2020 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru anaichambua safari ya kisiasa ya CCM toka mwaka 2015, ambapo kura za CCM ziliporomoka na Magufuli alipata 58%. Fitna na misukosuko ikawa jadi ya chama. Wasemakweli wakawa maadui wa chama na kupelekea kuitwa na Halmashauri Kuu ya Chama NEC...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete apatiwa namba ya NIDA

    Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa mwisho ni Januari 20, 2020. Rais wa Awamu ya 4, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Januari 18, 2020...
  20. Papaa Muu

    JamiiForums Tanzania Watoto 56 wenye matatizo ya moyo wafanyiwa upasuaji mkubwa na mdogo katika taasisi ya moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka King Salman Humanitarian Aid and Relief Center wa nchini Saud Arabia wakimfanyia upasuaji wa bila kufungua kifua na kuziba tundu la moyo wa mtoto kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa...
Back
Top Bottom