kikwete

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

    Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya: 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja la Maragarasi 5. Chuo Kikuu cha Dodoma 6. Hospitali ya Mloganzila 7. Julius Nyerere International Airport...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele. Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena. Tundu Lisu atapewa kazi...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  5. JFK wabongo

    JamiiForums Tanzania Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani. Kwanini tuuite Jakaya Kikwete? Jibu: Ni rais...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

    Ni jambo jema. NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa. Source Swahili times Maendeleo hayana vyama!
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

    Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa "Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha." Maendeleo...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: Wanaosema Mikoa ya Kusini imesahaulika kimaendeleo hawaijui vizuri mikoa hiyo

    Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo. Dkt. Kikwete ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania 1995: Siku Jakaya Kikwete alivyomuinua kitini Rais mstaafu Nyerere

    Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM. Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu. Jionee mwenyewe jinsi mambo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CCM inadandia hoja nzito za upinzani, alianza Kikwete mwaka 2010 na kima cha chini cha mshahara. Huenda hawajui hata kuandaa ilani yao!

    Kwa mantiki hii ipo sasa haja ya moja kwa moja kuipumzisha CCM, kwanini? Kama mtakumbuka kuwa, mwaka 2010 Rais mstasfu Jakaya Kikwete alikuwa na mgogoro mkubwa sana na Katibu mkuu wa TUCTA wa wakati huo Nicholas Mgaya. Mgogoro huo ni kuwa bwana Mgaya alikuwa anashinikiza wafanyakazi kima chao...
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Magufuli hastahili hata kulegeza lijamu ya Jakaya Kikwete. Yuko Chini sana, Kikwete ni level nyingine

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mtu ambaye ninaamini kwamba kila ninachowaza ni sahihi Kipimo cha Ubora wa Kiongozi sio vitu kama madaraja,barabara,nyumba etc.Hivyo nivitu viddogo sana ambavyo vinafanywa na wataalamu wa maeneo husika cha muhimu ni PESA ziwepo. Kipimo cha Kiongozi yoyote yule...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Magufuli ametekeleza Ilani kwa 85% ila Bashiru anasema ametekeleza Ilani kwa 100% na amepitiliza

    Leo Rais mstaafu ndugu Jakaya Kikwete akiwa Chalinze na mgombea mwenza wa Rais Magufuli, amesema kuwa Rais Magufuli anetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85 hivyo anaomba wananchi wamchague tena Nakumbuka Katibu mkuu wa CCM ndugu Dkt. Bashiru Alli alisema kuwa Rais Magufuli ametekeleza ilani ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mama Salma mgombea wa CCM Jimbo la Mchinga akikuna nazi

    KAMPENIMCHINGA MAMA SALMA MGOMBEA WA CCM JIMBO LA MCHINGA AKIKUNA NAZI & AKISIKILIZA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
  16. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie

    Salaam, Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata...
  17. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Raisi Mstaafu Kikwete!

    chadema oyeee, ...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Namuomba Radhi Mzee Jakaya Kikwete

    Mhe. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne binafsi nakuomba Radhi leo kwa yote nilikuwazia au hata kukusema kiukweli at that time nilikuwa na Moto wa ujana na sikujuwa uzee wako ni hekima. Nikiwa kama Raia wakawaida kabisa niliwahi kukuandikia baruwa na nikalalamika sana juu ya upole wako na democrasia...
  20. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 2000 ya Mkapa vs 2010 ya Kikwete vs 2020 ya Magufuli

    Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata. 2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi. 2010 ya Kikwete ilikuwa mtelezo sana sababu raia walishamuelewa sana, hata wale waliokuwa...
Back
Top Bottom