Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,887
3,187
Kichwa cha habari kinajieleza.

Kwa nini kiwanja pande hizi?

Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani.

Kwanini tuuite Jakaya Kikwete?

Jibu: Ni rais aliyejitangaza mwenyewe kuwa ni mpenzi wa yanga. Pili, itavutia wachangiaji, tatu, mpaka sasa ni yeye tu hana uwanja unaoitwa kwa jina lake.

Kumbuka:
1. Kambarage - Shinyanga, Ally Hasan Mwinyi - Tabora, Mkapa - Dar, Jakaya Kikwete -Kidongo chekundu (watazamaji 100).
2. Shamba linauzwa kiluvia lina ukubwa wa kutosha kujenga uwanja mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom