Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.
Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'
Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika.
ITV Tanzania
Hata kama hawa...
Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali yatakiwa kujibu kabla ya tarehe 22/10/2020, tutazuia uchaguzi.
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.
Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.
Stay tuned.
=====...
JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA"
MASASI-MTWARA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye
Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
“Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze'
HabariLeo na Mwanaspoti
Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto.
Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai...
Habari wakuu,
Natumai mu wazima, naombeni kwa mwenye kibarua au anayejua mahali kuna nafasi za kazi anisaidie. Nimesomea kozi ya medical attendant, nimewahi kufanya kazi kwenye dispensary baadhi za watu binafsi, kwa sasa hali ni ngumu kwani ajira hakuna na pia mitaji imekuwa ngumu kidogo...
Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo:
1. Kuwaunganisha watu,
2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao
3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua.
4. Usalama wa raia,
5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme
6. Uhuru kwa kila...
Hivi karibuni kuliibuka kundi la ma-CCM yakihoji utendaji kazi wa Halima Mdee jimbo la Kawe. Leo wamepewa makaburi na bwana Gwajima. Jisomee mwenyewe hapa chini Gwajima akiuthibitishia umma kwamba Mdee kachapa kazi kwa kiwango cha juu kabisa.
ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe...
Muda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe
Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi
Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku...
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020.
Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10
Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro.
"Tunachunguza...
Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
HOTUBA YA DKT. MAGUFULI
....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
Wanahitajika wadada wawili wenye ujuzi wa kusuka mitindo yote ukiwemo mtindo wa "YEBO" saloon ipo Mwanza -Nyamanoro, mshahara ni mzuri, unapewa, nauli, na pesa ya chakula tofauti na mshahara.
Kwa wahitaji ni-PM.
Karibuni Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.