kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Procurement/Marketing and Sales, nina uzoefu wa miaka mitano

    Habari wana JF, Nakuja kwenu kuleta maombi yangu, ninatafuta kazi, nina Bachelor ya Procurement, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye sector ya Logistics Management. Nina uwezo wa kufanya marketing na sales kwa lugha ya Kiingereza kwa ufasaha, niko vizuri kwenye negotiation za bei na mikataba, nna...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utoaji unavyofanya kazi katika ulimwengu wa roho

    Naomba uzi huu usihusishwe na Dini yoyote ile na wala usihamishwe na kupeleka kwenye jukwaa la Imani kwa sababu kuu mbili zifuatazo:- (i) Utoaji ni suala la asili ya uumbaji, kila mtu anacho cha kutoa kwa mwingine. (ii) Mtu yeyote anaweza kuwa mtoaji au kujifunza utoaji bila kujali imani yake...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, familia, ukoo au kabila likiendelea kuwekeza kwenye elimu kwa lengo la kazi, basi mbeleni kuna anguko kubwa

    Sote ni mashahidi wadau. Zamani familia au ukoo au kabila likikazania elimu kwa lengo la kuoata mafanikio kupitia elimu njia ilikuwa imenyooka kabisa. Kuna hata makabila fani akili za darasani ziliwabeba kweli na kurundikana kwenye vitengo kwasbababu walikuwa na vyeti na sifa. Ila kwa hali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

    Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc. Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
  6. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Menu hii ya mamlaka ya maji haifanyi kazi *152*00#

    Nimejaribu kupata bili yangu ya maji kwa menu ya mamlaka ya maji siku ya pili leo lakini hawaja nitumie sijui tatizo ni nini.
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  8. chuchunge

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

    Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini. Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu. Natafuta...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Anakotupeleka Rais Magufuli ni kuzuri; Serikali itakuwa na uwezo wa kumlipa hela kila asiye na kazi

    Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara, hospitali, Shule, njia za reli, umeme, maji nk yote ilishaisha kujengwa. Hivyo serikali zingine...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  12. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  13. GOKILI

    JamiiForums Tanzania MPISHI ANATAFUTA KAZI

    Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi. Wasiliana nami 0776727788 AU 0787823817.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Namna mwili unavyokuwa gereza la mwanadamu

    Katika vitu vinavyomkwamisha mwanadamu kujielewa yeye ni nani? Yupo kwa kusudi gani?, ana uwezo gani? na ni kwa nini anafanya anayoyafanya ni mipaka ya mwili wake inayotegemea na milango ya fahamu. Tukiulizwa maswali aghalabu tunajibu ndani ya mpaka wa muda na mahali "space and time" mpaka...
  16. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Aquatic Sciences and Fisheries. Natafuta kazi ya halali

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi GSM: Business Development Manager

    Position: Business Development Manager Reporting to: General Manager dotted line to Chief Commercial Officer Responsibilities: Oversee entire sales of GSM Home Products countrywide channeled to Key Accounts Understand requirements and champion bidding process to win tenders from...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Neno "watanionaje" ndio linawafanya graduates wengi kuchagua kazi

    Habarini wanaJF, nakumbuka kauli ya mgombea uraisi wa UKAWA 2015 Ndugu Edward Lowasa alotamka kuwa tatizo la ajira tusipokuwa makini litakuja kuwa bomu, sasa ni rasmi kauli yake imetimia. Kwa sasa ajira kwa wahitimu ishakuwa ngumu, tena baada miaka miwili au mitatu litakuwa kubwa zaidi. Kama ni...
Back
Top Bottom