Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza.
Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma
Malimbikizo ya Mishahara
Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili (mseleleko ndio muafaka)
Mapunjo ya mishahara yapo kwenye mfumo huo wa mshahara yaliratibiwa
Hela za...
Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
Inadaiwa mojawapo ya jambo kubwa lililokuwa linapita bila hata kujadiliwa katika bajeti hii na hata Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi walishajulishwa na wakanyamaza kimya ni kutokuwa na nyongeza ya mishahara. Vyama vya wafanyakazi kwa kupitia TUCTA walishakuwa kimya kama wamenyeshewa mvua kwa...
Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na Wafanyabiashara, wachumi na pia kuangalia trend ya soko la hisa la nchi husika.
Nikimwangalia nakumsikiliza...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo.
Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa...
SIONI SABABABU YA KUMLAUMU MHE DKT FAUSITE NDUNGULILE
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya mabadiliko ya vifurushi vya mitandao jana kubadilika Watanzania wengi walilalamika kuwa vifurushi hivyo havijaja kuwasaidia bali kuwaumiza. Pamoja na maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Viongozi wa TCRA...
Haiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari.
Kwanza umeudanganya umma kwamba mapendekezo yenu yalikuwa ña unafuu kuliko ilivyokua zamani hali...
Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
Naomba kumshauri Mhe. Rais aache utamaduni wakujiwekea ratiba ya kutembelea majibo kuwashukuru Wananchi maana muda ni mchache na Miradi ni mingi.
Akitulia jikoni akapika sisi huku tungependa kumwona akipakua ( akizindua Miradi) msosi ambao umekwiva na wenye tija.
Akumbuke anayo deni...
Waandishi wa habari huwa hawatetei maslahi ya moja kwa moja, kisekta, binafsi au yanayowagawa watu
Kama wataenda kinyume basi wataishia kuvuka mipaka, kuweka rehani uhuru wao na kuwafanya wasomaji/wasikilizaji kutokuwa na imani na kazi yao ambayo wanaihusisha na uhuru wao
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa
Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka"
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada...
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko.
Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.
BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji.
Maendeleo hayana vyama!
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja
Wawili hao wameasimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye...
Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa.
Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo mengi kwani alikuwa msaidizi namba moja wa Hayati Dr. Magufuli.
Wakati huo huo chama kinachotawala ni...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.