kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Austria: Waziri wa Afya ajiuzulu, asema ni kwasababu ya kufanya kazi kupitiliza na uchovu

    Waziri wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo kwasababu ya uchovu, akisema miezi 15 aliyokuwa ofisini imeonekana kama miaka 15. Anschober (60) aliyeteuliwa Januari mwaka 2020 na kuongoza Taifa hilo katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona amesema Taifa linahitaji...
  2. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Laboratory Assistant

    Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
  3. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Aibu yetu: Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda

    Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda. Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

    Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa. Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata...
  5. KIDTVTC

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za kujitolea

    Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Ni Asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi, Kilimanjaro. Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini. Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  8. Kingdan

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ni mfuasi wa sera ya kazi na bata?

    Habari wa jf wenzangu, Kwa mujibu wa hotuba ya mheshimiwa rais ya tarehe 6April2021. Nmesikia mama amezungumza mengi lakini muelekeo wake najaribu kuuhusianisha na kaulimbiu ya mzee wa dakika 90,bwana Membe, Je,kwa mujibu wa hotuba ile ni kweli inawezekana BCM nae akawa mshauri maana...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

    CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali. Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
  10. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

    Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

    Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini. Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose. Timu hii itasimama na CCM katika hali zote. Timu hii hupewa majina mengi. Timu hii inasimamia uzalendo. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi. Chanzo: ITV habari Ukinizingua Nakuzingua!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali. Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  16. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

    Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'. Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka. Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Ibrahim Lipumba: Mawaziri wapewe mkataba wa mwaka mmoja, atakayeshindwa kufanya kazi atumbuliwe

    Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe kihalali.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania CCM mwacheni Rais afanye kazi kwa uhuru, msimshinikize

    Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza. Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
  20. balimar

    JamiiForums Tanzania FreeBasics: Lipo la kufanyiwa kazi kwa Haraka Wizara ya Utumishi

    Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma Malimbikizo ya Mishahara Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili (mseleleko ndio muafaka) Mapunjo ya mishahara yapo kwenye mfumo huo wa mshahara yaliratibiwa Hela za...
Back
Top Bottom