Habari,
Kuna Project Ndogo ambayo inaweza kuhitaji PAs kama 10 hivi lakini ambao watakuwa wanafanya kazi Remotely. Kwa malipo ambayo yatakuwa calculated Hourly. Anaweza kufanya Mtu yeyote ME/KE ila ni lazima awe anajua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Lazima awe na ujuzi wa kutumia...
Wasalam!
Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi.
Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya kupitia malalamiko ambayo ni mengi mno yamefikishwa idara ya kazi mkoa wa Arusha lakini bahati mbaya...
Nakala mbili za kazi yako ya sanaa;
Picha mbili za utambulisho(Passport size);
Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa;
Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji;
Ushahidi wa maandishi kuhusu...
Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi.
Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama...
Habari zenu wana jf
Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu
Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula
Kimakazi nipo dar njoo inbox
Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.
Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.
Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu.
Shule zilikuwa ni za umma...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewasimamisha kazi wakuu wa idara watatu wa halmashauri ya Sengerema kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo.
Waliosimamishwa kazi ni Tabwe Seleman ambaye ni kaimu mweka hazina wa halmashauri hiyo, Renatus Shule (kaimu...
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo...
Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum.
Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani.
Sasa naomba...
Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano.
Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE
Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa jitahada zake za dhati za kulirejesha taifa katika umoja wake na...
Habarini wakuu,
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali
Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level
Kufundisha primary /nursery
Upishi pia naweza
Kaunta
Hata uhasibu naweza mahesabu
Kazi yoyote halali naweza kufanya...
Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba.
Nilikuwa kwenye moja ya...
Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti).
=======
LONDON (AP) — Tottenham fired Jose Mourinho on Monday after only 17 months in charge, and just as he was preparing to coach the club in the...
Wadau kwema,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege.
Nawaomba...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma...
Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua.
Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.