Nani amewahi kupata kazi ya UNV?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Oct 11, 2019
207
482
Wakuu nataka kupata uzoefu kuhusu kazi za United Nations Volunteers.

Mimi nina uhakika nina sifa zote zinazohitajika kupata nafasi ya kufanya na UNV.

Nimejiandikisha kwenye mtandao wao wa vmam.unv.org toka mwaka 2015 lakini sijawai kupata notification yoyote au kuitwa kwa ajili ya kufanya kazi na UNV.

Profile yangu mimi haina gap yani sehemu zote muhimu nimejaza vizuri na nimekuwa nina update taarifa zangu kila inapotokea change yoyote kwenye career yangu.

Mliofanikiwa kupata kazi UNV naomba mnisaidie technicalities, ninakwama wapi?

Ndoto yangu mimi ni kufanya kazi na agency za UN na nnaona nikianzia UNV itanisaidia sana.
 
Hakikisha umejaza profile yako vizuri, Referees waku recommend vizuri, Cha mwisho weka cheti cha lugha za kimataifa tofaut na kingereza na kiswahili.

Profile nimejaza kila kitu vizuri sana mpaka referees, labda kama tatizo liwe hicho cheti cha lugha ya ziada na kwa bahati mbaya sina lugha ya ziada nayoijua zaidi English na Swahili.

Lakini inamaana wanaopata ni walio na uwezo wa kuzungumza lugha 3 pekee?
 
Nitashare kila mmoja mmoja, nipeni muda niedit details zangu,
 
Wadau kama kuna mtu alishatumiwa copy ya CV na bwana 6321???
Naomba anitumie PM please its urgent my people.
 
Wakuu nataka kupata uzoefu kuhusu kazi za United Nations Volunteers.

Mimi nina uhakika nina sifa zote zinazohitajika kupata nafasi ya kufanya na UNV.

Nimejiandikisha kwenye mtandao wao wa vmam.unv.org toka mwaka 2015 lakini sijawai kupata notification yoyote au kuitwa kwa ajili ya kufanya kazi na UNV.

Profile yangu mimi haina gap yani sehemu zote muhimu nimejaza vizuri na nimekuwa nina update taarifa zangu kila inapotokea change yoyote kwenye career yangu.

Mliofanikiwa kupata kazi UNV naomba mnisaidie technicalities, ninakwama wapi?

Ndoto yangu mimi ni kufanya kazi na agency za UN na nnaona nikianzia UNV itanisaidia sana.
Lugha English ni common kila mtu anajua kwa sasa tafuta rugha hata mbili za ziada mfano kifaransa na nyingnezo itakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom