Nafasi za Kazi ya Ualimu Arusha

Cia40

New Member
Dec 7, 2020
2
2
TROPICAL CENTRE INSTITUTE LIMITED, inawatangazia nafasi za Kazi, Walimu wenye Sifa katika masomo yafuatayo: -
1. Food and Beverage Service and Sales.
2. Food Production.
3. Front Office.
4. House Keeping.
5. English Language and Communication Skills.

Sifa za mwombaji: -
1. Awe ni muhitimu wa shahada au stashahada katika masomo yaliyotajwa hapo juu.
2. Awe na uzoefu na uwezo mzuri katika masomo hayo, usiopungua miezi sita na
kuendelea.
3. Awe mchapakazi na awe tayari kufanya kazi kwa bidii kulingana na ratiba ya Chuo.
4. Uwe tayari kufanya usahili Arusha na kufanya kazi Arusha.
5. Kwa watakaoweza kufika chuoni na CV au Vyeti vyao, Chuo kipo Barabara ya Kijenge,
mkabala na AICC hospital au Kibo Palace hotel, Arusha.

Tuma CV yako kupitia
tropicalcentre2017@gmail.com au luckongx@gmail.com
Piga simu namba 0713606548 / 0713339062/ 0693806647.

Muhimu: - Epuka matapeli, Usitume Pesa yoyote ile kwa mtu yoyote yule. Usahili ni bure
hauna gharama. kwa watakaofanikiwa kupata ajira hakuna malipo yoyote pia.

Kwa uhakika zaidi fika chuoni kwetu Tropical Centre Institute Ltd, Arusha.

Toa taarifa kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Wote Mnakaribishwa.
 
Interview ingekuwa inafanyika online ingekuwa poa sana...wengine Tupo mbali ila tunaitaji hizo kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom