kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi fuatilia utendaji kazi wa Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Kilimanjaro

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro. "Utakuja kunikumbuka" Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki azindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya shilingi bilioni 6

    • Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili Bodi ya Maabara Binafsi za Afya yasema inafanyia kazi Madai ya Maabara kutoa majibu ya Uongo

    ============= Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ni chombo chini ya Wizara ya Afya kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Usimamizi wa Maabara Binafsi za Afya ya Mwaka 1997 (Sura 136) kwa lengo la kusajili na kusimamia Maabara binafsi za Afya nchini. Ofisi ya Msajili Bodi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake? Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Survey na Kuchimba kisima

  8. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kazi katika interview

    Habari wapendwa. Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa toka kumaliza chuo na kazi naitaka?
  9. JamiiForums Tanzania Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usioe "secretari" anayefanya kazi ofisi yoyote. Utanishukuru

    Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo. Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Anaetoa assist ya goli na mfungaji, yupi hufanya kazi kubwa?

    Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji. Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

    Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Profesa Ndakidemi kwa kazi nzuri

    Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi huyo anaonekana mwaba kweli kweli,anapambana kuhakikisha anaziba masikio ili atekeleze ahadi zake...
  16. JamiiForums Tanzania TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1

    Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!. Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

    Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao. Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
  18. JamiiForums Tanzania Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  20. JamiiForums Tanzania Anafanya kazi TANESCO?

    ANAFANYA kazi TANESCO?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…