Usioe "secretari" anayefanya kazi ofisi yoyote. Utanishukuru

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo.

Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma usekretari.

Ni wadada ambao wamewekeza akili zao kwenye kudanga tu. Hakuna lingine wanalowaza ktk vichwa vyao. Awe ofisi ya umma ama ya mtu binafsi, sekretari ni sekretari tu.

Kwanini naleta wimbo huu kwenu? Kuna mteja wangu (nadhani nyote mnafahamu kuwa mm ni kungwi) yamemkuta. Alikutana na mdada mzuri kiumbo kwenye ofisi ya mapokezi shule fulani.

Ktk shule hiyo masekretari ndiyo hupokea wageni na kufanya kazi za usekretari. Jamaa kamwaga nyimbo demu kaingia laini, mapenzi yakachipua mpk wakaingia kwenye ndoa.

Kumbe bidada ana mtoto mkubwa lkn hakuwahi kumwambia mshikaji na alikuwa kamuacha kwa nduguze kijijini.

Siku ya siku wakiwa na miezi 14 tu ya ndoa jamaa akagundua kuwa bidada ana mtandao wa wanaume kama 6 wa ndani na nje ya taasisi ((shule) anayofanyia kazi.

Suala hili lilizua timbwili kubwa. Na ktk harakati za kwenda kwa ndugu na jamaa mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi, ndipo jamaa kakutana na kipande cha binti, ziwa likiwa limekomaa na kukaribia kudondoka. Akaambiwa binti huyu ni mtoto wa kwanza wa mkewe.

Kufuatia surprise hiyo jamaa amegoma

kutafuta suluhu, badala yake amebwaga manyanga.

My take!.
Masekretari ni wa kutafuna tu na kutema. Usithubutu kuoa sekretari. Ukizingatia ushauri huu Kuna siku UTANISHUKURU.
 
Kufuatia surprise hiyo jamaa amegoma kuendelea kutafuta suluhu, badala yake amebwaga manyanga.

Kawaida Sana...
 
Yani sempo moja tu ya rafiki yako aliyeangukia malaya ndio useme masekretari hawafai kuolewa?acha generization kuna masekretari wengi wazuri na wanajiheshimu na ndoa zao.
 
Jamaa kamwaga nyimbo demu kaingia laini, mapenzi yakachipua mpk wakaingia kwenye ndoa.

Kumbe bidada ana mtoto mkubwa lkn hakuwahi kumwambia mshikaji na alikuwa kamuacha kwa nduguze kijijini.

Siku ya siku wakiwa na miezi 14 tu ya ndoa jamaa akagundua kuwa bidada ana mtandao wa wanaume kama 6 wa ndani na nje ya taasisi ((shule) anayofanyia kazi.

Suala hili lilizua timbwili kubwa. Na ktk harakati za kwenda kwa ndugu na jamaa mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi, ndipo jamaa kakutana na kipande cha binti, ziwa likiwa limekomaa na kukaribia kudondoka. Akaambiwa binti huyu ni mtoto wa kwanza wa mkewe.

Kufuatia surprise hiyo jamaa amegoma kuendelea kutafuta suluhu, badala yake amebwaga manyanga.

My take!.
Masekretari ni wa kutafuna tu na kutema. Usithubutu kuoa sekretari. Ukizingatia ushauri huu Kuna siku UTANISHUKURU.
Vijana wengi hapa ndo tunafeli kila kukicha.
 
Kuna jamaa mmoja na pesa zake ana ofisi kubwa sana ya clearing and forwarding.

Jamaa ilikuwa kila secretary anaeajiri lazima amlale na wakati mwingine mpaka mkewe anajua.

Mkewe alichoka tabia ya mumewe kuwalala ma secretary. Mkewe alichofanya akamwambia jamaa akitaka ndoa iendelee basi amruhusu kumchagulia secretary. Jamaa kwa kumpenda mkewe akakubali.

Mke akaenda kumchukua mama wa makamo kutoka kanisani. Alikuwa mjane msomi alieokoka, akafanywa awe secretary kwa mumewe.

Baada ya wiki 3 mke alipita ofisini kwa mumewe mida ya jioni baada kuona gari ipo parking, akamkuta secretary mpya anaukatikia ofisini kwa mumewe.

Point ya kisa chote ni kuwa kuna kaukweli kuwa secretary ili awe secretary ni lazima alalwe na Boss.
 
Hiki kizazi Cha ovyo sana.Mwanamke anamfichaje mwanaume kuhsu mtoto aliye nae?It's biologically impossible,unless mwanaume ni kiazi kiasi kikubwa.
Kwanza mwana mke akizaa mabadiliko ni makubwa,acha tu fizikali ila pia Mengi yanapungua labda awe kafanya c-section ila lazima utaona kovu right?Sasa na jiulizaga inawezekanaje manzi afiche kuhusu mtoto?Mwanaume ndio unaweza ficha mtoto na asijue mtu milele ila sio mwanamke.Wanaume ni muda Sasa wakuanza kuzitumia hizo Akili.
 
Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo.

Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma usekretari.

Ni wadada ambao wamewekeza akili zao kwenye kudanga tu. Hakuna lingine wanalowaza ktk vichwa vyao. Awe ofisi ya umma ama ya mtu binafsi, sekretari ni sekretari tu.

Kwanini naleta wimbo huu kwenu? Kuna mteja wangu (nadhani nyote mnafahamu kuwa mm ni kungwi) yamemkuta. Alikutana na mdada mzuri kiumbo kwenye ofisi ya mapokezi shule fulani.

Ktk shule hiyo masekretari ndiyo hupokea wageni na kufanya kazi za usekretari. Jamaa kamwaga nyimbo demu kaingia laini, mapenzi yakachipua mpk wakaingia kwenye ndoa.

Kumbe bidada ana mtoto mkubwa lkn hakuwahi kumwambia mshikaji na alikuwa kamuacha kwa nduguze kijijini.

Siku ya siku wakiwa na miezi 14 tu ya ndoa jamaa akagundua kuwa bidada ana mtandao wa wanaume kama 6 wa ndani na nje ya taasisi ((shule) anayofanyia kazi.

Suala hili lilizua timbwili kubwa. Na ktk harakati za kwenda kwa ndugu na jamaa mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi, ndipo jamaa kakutana na kipande cha binti, ziwa likiwa limekomaa na kukaribia kudondoka. Akaambiwa binti huyu ni mtoto wa kwanza wa mkewe.

Kufuatia surprise hiyo jamaa amegoma kuendelea kutafuta suluhu, badala yake amebwaga manyanga.

My take!.
Masekretari ni wa kutafuna tu na kutema. Usithubutu kuoa sekretari. Ukizingatia ushauri huu Kuna siku UTANISHUKURU.
Mkuu hili tatizo la wanawake kuficha kuwa wana mtoto/watoto wakati wanapopata wachumba litangazwe kama janga la kitaifa. I am serious. Tangu mwaka huu uanze nimeshakutana na visa kama saba vya aina hii. Kwa vijana ambao hamjaoa: kuweni makini sana sana sana. Siku hizi wanawake wengi wanajua single mothers hawana soko la kuoleka hivyo wameamua kuficha watoto wao. Ikiwezekana nendeni kwa ´daktari kabisa amkague mchumba wako kitaalam. Usijaribu kufanya uchunguzi kwenye usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa sababu wanahonga na kubadilisha rekodi. Na ukijaribu kuchunguza anakotoka unaweza usigundue kwani mtoto anaweza kufichwa mbali kabisa.
 
Hiki kizazi Cha ovyo sana.Mwanamke anamfichaje mwanaume kuhsu mtoto aliye nae?It's biologically impossible,unless mwanaume ni kiazi kiasi kikubwa.
Kwanza mwana mke akizaa mabadiliko ni makubwa,acha tu fizikali ila pia Mengi yanapungua labda awe kafanya c-section ila lazima utaona kovu right?Sasa na jiulizaga inawezekanaje manzi afiche kuhusu mtoto?Mwanaume ndio unaweza ficha mtoto na asijue mtu milele ila sio mwanamke.Wanaume ni muda Sasa wakuanza kuzitumia hizo Akili.
Wanaweza. Narudia tena, wanaweza hasa maisha ya sasa yalivyo. Kuna wwengine wanazaa wakiwa wadogo kweli kweli na ukija kumkuta akiwa na miaka 20 unaweza usijue kirahisi. Mwenzio kabambikiziwa juzi juzi na na demu wa miaka 19 aliyezaa akiwa mdogo. Ukimuona huwezi kudhani kabisa ana mtoto, na kwa sababu ni kadogo kadogo, hata wazo la kudadisi kama ana mtoto unakuwa huna.
 
Back
Top Bottom