Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

Habari ndugu zangu, Kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza April mwaka huu.. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la.. ni shirika lililopo bara kule Zanzibar Wana branch yao.. changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
 
Mimi mwanaume,

Mimi mwanaume, iyo tako sunna unamaanisha mashoga ni wengi?
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza April mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Kama ni Shirika linaloitwa GOOD NEIGHBOURS jiandae kwenda kuhamasisha USHOGA huko Zanzibar,ndio Ajenda yao
 
1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
5.kama ni masai hutaruhusiwa kutembea na silaha zako :D :D
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
ni vizuri zaid ukaenda kwanza kazini kisha utakutana nazo zikiwa halisi na ndipo sasa utajifunza na kujua namna bora zaid za kukabiliana nazo 🐒

Changamoto za kuambiwa zinakatisha tamaa sana, hata hivyo Akili za kuambiwa changanya na zako....

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Me au Ke ? Changamoto chakula kule hasa kama utakaa nje ya mji...
Mind you hiyo nje ya mji ni kama 8-10km kutoka Mjini (stone town), kingine kupata chumba Cha kupanga si rahisi pia, watu wapo tayari nyumba atoe bure kwa ndugu yake lakini si kupangisha,
Pia kama ni Me, mbususu si rahisi kupata pia
 
1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
Ameandika mtumishi
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Changamoto iliyopo Watanganyika hatutakiwi kule jamaa wabaguzi wao tu ndiyo wanajiona wana haki ya kuja Tanganyika lakini sio sisi kwenda kwao.
 
Maisha yapo juu , yani vyakula ni gharama kidogo,
Nyama kilo 9000 ya mifupa
Nyama kilo 12000 ya bila mifupa
Mchele inafika mpaka 4000 wa Mbeya ,
Mchele wa mapembe hauzidi 2600 kwa kilo huu umejaa upepo
Nauli Jero mpaka 600 kwa safari za mjini
Shamba ni 2000 mpaka 2500
Mafuta Lita na nusu sio alizeti ni 6000,
Sukari elfu 12-11 kwa kilo tano
Nyumba za kupanga 40. Mpaka 80 na zaidi kutokana na hadhi ya chumba
Viazi kwa Kilo 1200 mpaka 1300
Nyanya / tungule ni 2000 kwa Kilo
Vitunguu
Parachichi ni 1500
Samaki kuanzia 5000 mpaka 30000
Umeme 5000 unapata unit 16, pia kama una ela Kuna mita zinakopa
Sasa hapo kazi kwako kupanga ni kuchagua ,
Kitanda
Godoro
 
Back
Top Bottom