Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
318
513
Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa pili sasa umepita} nimehangaika kujiingiza katika shughli zingine mbalimbali nje ya taaluma yangu hili nimsahau na nisahau tukio zima inakuwa ngumu sana kufanikiwa,roho inaniuma sana aliniweka ndani bila makosa kwa siku 10,akatishia kuniuwa,akadai yeye ana pesa hivyo nisicheze na wenye pesa kwan kibanda changu kitatiwa moto nifie humo na familia yangu..kibaya zaidi amewashika mpaka viongozi wa vituo niliowategemea wanitetee.

wakati napitia haya yote mikononi mwake huku mtaani akawatuma maaskari fulani aliowanunua kwa milioni 5 wanitangazie kuwa mm ni jambazi,hata baada ya kutoka nikatengwa,nikazuia kushiriki katika shughli zozote za utafutaji wanazofanya vijana wengine.angalia maisha ninayopitia.mwisho akatuma mtu kunipigia na kuniambia niwe mvumilivu siku yoyote atanirudishia pc yangu akijiridhisha nimeachana na siri zake nyeti zilizoingia kwenye pc yangu kwa bahati mbaya.

Mwaka wa pili sasa hana habari na nilishmweleza ile pc ndio maisha yangu, but upande wangu maisha yamechange sana kwan pc ile ndio ofisi yangu kuu iliyokuwa inanifanya niwe na maisha mazuri kuliko vijana wengi hapa mtaani,now nimekuwa ombaomba. Dah maisha haya kweli masikini hatuna maana.na isitoshe mm nilishamuhakikishia kuwa hizo habar zake mm hazinihusu na nimeachana nazo hata kabla hajatuma maafande wake kunitafuta kutoka huko mikoa ya mbali waliyotoka.

Kuna wakati huwa nahofia sana uhai wangu na familia yangu,ila kama aliweza kuwanunua wale makamanda kwa milioni 5,(niliwasikia wenyewe wakisema hivyo) nahisi upande huu hata nikienda kushitaki kwa kuwa ana pesa mno bado mm nisiye na chochote atanikandamiza kwa pesa yake,sasa je huko upande wa kanisani kukoje je naweza pata haki yangu kupitia huko ama niendelee tu kumsubiri siku akiuhitaji na uhai wangu auchukue kabisa?.

Ni tukio refu sana kulielezea ila naombeni kujua
Je, naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa?ikiwa ameninyanyasa,kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa bila kuhatarisha usalama wangu?
 
Mkuu.
Yaani umetoa codes zote kwa mhusika huku ukiwsacha wasomaji njiapanda.

Je akiamua kutimiza vitisho vyake tunawezaje kujua ili sheria ichukue mkondo wake?

Wewe mwaga kuku kwenye mtama wengi tumjue huyo mtumwa jangili
 
Kwa nini utunze siri zake kwenye pc yako?

Screen Shot 2024-02-17 at 2.46.31 PM.png

Cc: Mahondaw
 
Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa pili sasa umepita} nimehangaika kujiingiza katika shughli zingine mbalimbali nje ya taaluma yangu hili nimsahau na nisahau tukio zima inakuwa ngumu sana kufanikiwa,roho inaniuma sana aliniweka ndani bila makosa kwa siku 10,akatishia kuniuwa,akadai yeye ana pesa hivyo nisicheze na wenye pesa kwan kibanda changu kitatiwa moto nifie humo na familia yangu..kibaya zaidi amewashika mpaka viongozi wa vituo niliowategemea wanitetee.

wakati napitia haya yote mikononi mwake huku mtaani akawatuma maaskari fulani aliowanunua kwa milioni 5 wanitangazie kuwa mm ni jambazi,hata baada ya kutoka nikatengwa,nikazuia kushiriki katika shughli zozote za utafutaji wanazofanya vijana wengine.angalia maisha ninayopitia.mwisho akatuma mtu kunipigia na kuniambia niwe mvumilivu siku yoyote atanirudishia pc yangu akijiridhisha nimeachana na siri zake nyeti zilizoingia kwenye pc yangu kwa bahati mbaya.

Mwaka wa pili sasa hana habari na nilishmweleza ile pc ndio maisha yangu, but upande wangu maisha yamechange sana kwan pc ile ndio ofisi yangu kuu iliyokuwa inanifanya niwe na maisha mazuri kuliko vijana wengi hapa mtaani,now nimekuwa ombaomba. Dah maisha haya kweli masikini hatuna maana.na isitoshe mm nilishamuhakikishia kuwa hizo habar zake mm hazinihusu na nimeachana nazo hata kabla hajatuma maafande wake kunitafuta kutoka huko mikoa ya mbali waliyotoka.

Kuna wakati huwa nahofia sana uhai wangu na familia yangu,ila kama aliweza kuwanunua wale makamanda kwa milioni 5,(niliwasikia wenyewe wakisema hivyo) nahisi upande huu hata nikienda kushitaki kwa kuwa ana pesa mno bado mm nisiye na chochote atanikandamiza kwa pesa yake,sasa je huko upande wa kanisani kukoje je naweza pata haki yangu kupitia huko ama niendelee tu kumsubiri siku akiuhitaji na uhai wangu auchukue kabisa?.

Ni tukio refu sana kulielezea ila naombeni kujua
Je, naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa?ikiwa ameninyanyasa,kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa bila kuhatarisha usalama wangu?
Umelalamika tu bila facts ila omba msaada kwa wanasheria watafanyia kazi olswala lako..
 
Back
Top Bottom