Natafuta mdada wa kazi ambaye anaishi kwa kunyanyasika alipo kwa sasa

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
621
1,040
UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe.

Anahitajika mdada wa kazi
Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2.
Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana na wenye nyumba katika kazi. Haachiwi majukumu yote kuna yale wanafanya wenyewe.
Mshahara elfu 60. Akiumwa juu ya bosi.
Ncheki PM
 
Cha kujiuliza kama huo ustaarabu unaodai unao mbona hauna mfanya wa ndani?Mpaka unatafuta aliyenyanyaswa yaani aliye desperate.Mshahara wa elfu 60 ungekuwa na binti ungeruhusu afanye kwa mshahara huo? Wacha kujidai unasaidia huku unaendeleza unyonyaji.
 
Anayenyanyaswa wa nini kama sio kujitafutia trauma za bure
WaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.

People are real traumatized, ukimkosea kidogo tu kibinadamu ndio utaijua rangi yake halisi. Mimi nikipata msichana hawezi kuwa ananihadhithia how bad was her former bosi na nikamuintertain, sembuse nijue kabisa ametoka manyanyasoni na nimchukue.

Kumsaidia mtu wa hivyo labda kumtafutia kazi kanisani ili aweze kuheal trauma.
 
Anapaswa alipwe kiasi gani?
150K ndo sahihi ili apate hata kufanya saving hata kidogo.

There's high of cost of living now
Gharama za maisha zimepanda Sana now days .

Elfu 60 hela ambayo unaigiza saamoja MTU ndo uwe mshahara Wa
MTU Kwa mwezi kweli
 
uzi mzuri shida ni kwenye mshahara tu elfu 60 ni ndogo sana licha ya kula na kulala kwako
 
WaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.

People are real traumatized, ukimkosea kidogo tu kibinadamu ndio utaijua rangi yake halisi. Mimi nikipata msichana hawezi kuwa ananihadhithia how bad was her former bosi na nikamuintertain, sembuse nijue kabisa ametoka manyanyasoni na nimchukue.

Kumsaidia mtu wa hivyo labda kumtafutia kazi kanisani ili aweze kuheal trauma.

Unaweza kunmpa therapy and the best therapy ni kumpa UPENDO Genuine then kumjenga kihisia ili kuwa na positive emotions.

Then usimfanye ajihisi yeye ni mfanyakazi Bali member of the family.

Healing takes time but time heal the all wounded scars.

Then umpe na good payment .

Trauma hutokea na kuishi Kwa mtu ambaye hajui ladha ya UPENDO wa asili.
 
Mfanyakazi Kaa nae kwa akili sana, Kuna mama alikua anamletea mapicha picha mfanyakazi wake, mdada akawaua watoto wake wawili mapacha akawatia kwenye ndoo kubwa akafunika akasepa.....
 
Unaweza kunmpa therapy and the best therapy ni kumpa UPENDO Genuine then kumjenga kihisia ili kuwa na positive emotions.

Then usimfanye ajihisi yeye ni mfanyakazi Bali member of the family.

Healing takes time but time heal the all wounded scars.

Then umpe na good payment .

Trauma hutokea na kuishi Kwa mtu ambaye hajui ladha ya UPENDO wa asili.
very wise of you mkuu wangu
 
WaTz kuna vitu basic sana hawaelewi, 😅 Mtu aliyenyanyaswa si wakuwa naye karibu tena umkabidhi familia yako.

People are real traumatized, ukimkosea kidogo tu kibinadamu ndio utaijua rangi yake halisi. Mimi nikipata msichana hawezi kuwa ananihadhithia how bad was her former bosi na nikamuintertain, sembuse nijue kabisa ametoka manyanyasoni na nimchukue.

Kumsaidia mtu wa hivyo labda kumtafutia kazi kanisani ili aweze kuheal trauma.
Dada yangu mzuri soma post #15 alichojibu DR HAYA LAND
 
Cha kujiuliza kama huo ustaarabu unaodai unao mbona hauna mfanya wa ndani?Mpaka unatafuta aliyenyanyaswa yaani aliye desperate.Mshahara wa elfu 60 ungekuwa na binti ungeruhusu afanye kwa mshahara huo? Wacha kujidai unasaidia huku unaendeleza unyonyaji.
hii nyumbani anakokwenda nina ushuhuda nao mzuri. waliwahi kumsaidia kikamilifu mdada wao wa kazi na kumsaidia mpaka akajifungulia nyumbani kwao akaishi na mwanae mpaka akatimiza mwaka. watu wakadhani labda mdada yule kazalishwa na mmoja wa wanafamilia ile. wangap leo wadada wakibeba ujauzito mnawafukuza?
natamani angelipwa hata laki 5. unajua vema hali zetu watanzania tulio wengi kusema utalipa huo mshahara wa kima cha chini kiuhalisia hatuna.
vilevile sie mimi nayemuajiri mimi ni mjumbe nafikisha ujumbe.
nisamehe kama nimekukwaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom