katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo azungumzia mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Usangu

    "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni fedha nyingi. Tunaona dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais kuhakikisha anafanya Wilaya ya Mbarali na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Natumia hela katika hali zisizo rasmi

    Habarini wakuu, Kuna issue moja inaendelea kwenye maisha yangu na sihitaji kabisa kuichukulia kawaida ili isije kuniletea matokeo mabaya kwa ukubwa. Ipo hivi, picha limenza kwa mzunguko wa biashara yangu kusimama katika hali ambayo sio ya kawaida, Napishana sana na wateja na pia sometimes...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ipo katika Hatua ya mwisho wa kuukubali ushoga

    Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki. Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

    Habari za muda huu, Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Utata katika Biblia

    Habari zenu wana jamii bila kupoteza muda naomba niwasilishe utata uliopo kwenye maneno ya biblia na mwenye majinu atanithibitishia tukianza na mwanzo Biblia inasema baada ya adam na hawa kuumbwa waliwekwa bustanini ya Eden na unaambiwa Mungu aliumba wanyama wengi na kati ya hao nyoka akawa...
  9. JamiiForums Tanzania Haya tujuane sasa tuko katika Kundi gani kati ya yafuatayo yaliyotajwa hapa

    "Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia. Chanzo: cloudstv GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Watu 22 wauawa, zaidi ya 50 wajeruhiwa katika mashambulizi ya risasi

    Mashambulizi ya risasi yaliyotokea maeneo tofauti katika Kitongoji cha Lewiston kwenye Mji wa Maine yamesababisha watu 22 kuuawa na wengine kati ya 50 hadi 60 kujeruhiwa. Polisi wa Lewiston wamesema wanamshuku mhusika mkuu katika tukio hilo ni Robert Card (40) na kuwa ni mtu hatari ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

    Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu. Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe. Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe. Labda...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mdau: Serikali idhibiti vitendo vya rushwa katika mchakato wa kuwapandisha vyeo watumishi

    Hakuna jambo linaloweza kuchafua ufanisi wa taasisi au kampuni kama rushwa katika mchakato wa kupandisha vyeo. Ni jambo linalochochea malalamiko na kutia doa utendaji wa kazi. Leo, tunapenda kuangazia suala hili kwa dhati. Tunatambua kuwa kuna wafanyakazi wengi wenye vipaji na uwezo wa kipekee...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote. Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Abdul Sykes katika PDF

    Ndugu zangu, Kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini kwa atakae kukisoma. KInapatikana Hard Copy Ibn Hazm Media Centre katika maduka yake ya vitabu Msikiti wa Mtoro, Manyema (Kariakoo), Mtambani (Kinondoni) na Kichangani (Magomeni) bei Shs: 10,000.00...
  17. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  18. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  19. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  20. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…