GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,694
- 6,396
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka Historia kwa kuruhusu rasmi dual citizenship.
Nchi zingine zilizofuatia na miaka kwenye mabano ni:
Uganda (2005)
Kenya (2010)
Congo DRC (2011), na,
South Sudan (2011).