Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

Mr George Francis

Senior Member
Jun 27, 2022
186
212
Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika.

Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe.

Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea kulalamika kuwa maisha magumu, mke au mpenzi wako anakusumbua kumbe umechagua mwenyewe kuteseka kwa kushindwa kufahamu aina ya mke au mpenzi uliyenae.

Kuna wanawake ukiwa nao kwenye mahusiano ni asset au mali kwa lugha ya kibantu na kuna wengine ukiwa nao ni liability au mzigo kwa kiswahili sanifu.

Mwanamke asset utamjua tu hata kwa namna kwa tabia zake na mwanamke mzigo pia utamjua kwa mienendo yake.

Dear Gentlemen
Mwanamke asset utamtambua kwa mambo yafuatayo;

1. KUJALI KAZI
Mwanamke asset anajali muda wake na muda wako wa kufanya kazi. Ukiwa kazini anapenda ufanye kazi sio kila muda anataka mchati video call tu muda wote. Mwanamke asset anajua umuhimu wa kufanya kazi katika ustawi bora wa mahusiano au ndoa yenu.

2. KUTIA MOYO
Mwanamke asset ni yule anayemtia moyo mume wake hata wanapopita katika nyakati ngumu kimaisha.

Mfano: anaweza kumwambia kuwa,
"Usijali mume wangu, usiwe na pressure kabisa, mimi nakuamini na naamini jambo hili utalifanikisha. Wewe ni shujaa mume wangu, binafsi najivunia kumpata mume kama wewe. I love you so much."

3. KUJENGA UHUSIANO MZURI NA MUNGU
Mwanamke asset atahakikisha pamoja na majukumu mengi lakini kamwe hawapotezi uhusiano wao na Mungu. Mfano: atamkumbusha mume wake kusali au hata kuamua kusali pamoja.

In short, mwanamke asset sio mtu wa starehe na sio mtu anayeangalia leo tu bali ni mtu anayefikiria pia ni kwa namna gani kesho watakuwa na maisha bora zaidi kuliko leo.

Lakini, mwanamke liability au slay queen au mzigo yeye utamtambua kwa mambo haya;

1. ANAPENDA KUTUMIA KULIKO KUTAFUTA
Mwanamke wa aina hii, akilala na akiamka anawaza tu leo utampa kiasi gani cha fedha au utampa zawadi gani.
Mfano: kumekucha tu bila hata kujua umeamkaje, anakutumia SMS,
"Baby nitumie vocha ya elfu mbili please!!"

Mzee hujakaa sawa inakuja SMS nyingine; "Baby arafu rafiki yangu Maria leo birthday yake nitumie elf 25 nimnunulie zawadi ya cake!! Arafu kuna kigaoni chekundu nimekiona kinauzwa elf 45 nitumie hata elf 35 au 40 elf 5 nitaongezea mwenyewe."

2. ANAPENDA SANA MWONEKANO
Mwanamke mzigo anapenda kuonekana high classic hali yakuwa maisha yenu bado magumu.

Ni mtu wa kupenda vitu vya gharama kuliko uwezo wenu. Chakula tu kinawatoa jasho lakini yeye atataka iPhone, mavazi ya gharama ili akipiga picha na kitupia mitandao aonekane maisha kayapatia.

Eti nae utamuona mara kapost picha kajibinua makalio kashika na cover la iPhone kumbe ndani mvua ikinyesha hakuna usingizi.

So far kuna vitu sio vibaya kuvifanya kama pesa kweli ipo lakini kama bado mnajitafuta huu mzigo utakuchosha tu.

3. ANAPENDA SANA LAWAMA
Mwanamke mzigo anapenda sana kulaumu hata kwa mambo ambayo mngeweza kuongea tu taratibu na kuelewana.

Jambo sio jambo teyari ananuna, mara utasikia, "Ooh...mbona hujaniweka status? Mbona hujanipost Facebook? Leo umeshinda na malaya zako umeamua usinipigie simu?

Yani hataki kujua kwanini hujafanya anachoaka yeye ufanye ila ana kazi ya kutoa lawama tu, lugha chafu, dharau na kujifanya kununa.

Mwisho, niseme tu dear dada ebu jitathmini na kuangalia tabia zako ni za aina gani katika ndoa au mahusiano yako.

Kama kama una tabia za mwanamke asset, chukua maua yako 🌹🥀🥀 lakini kama ni tabia za mwanamke mzigo basi badirika sasa and think about how to make your future better with your partner.

Follow me Mr George Francis
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Contacts: 0713736006
 
B... kuna mtu kamuongelea mwanamke asset wako huku, isipokuwa kwenye kuchat na kumpigia simu anapendaga muda wote umpigie 😂😂
Mdakuzi
 
Kama kama una tabia za mwanamke asset, chukua maua yako lakini kama ni tabia za mwanamke mzigo basi badirika sasa and think about how to make your future better with your partner.

Follow me Mr George Francis
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Contacts: 0713736006
Ke ni kifo, Ke ni Ndugu yake na Shetani, Ke ni Chuma ulete/Kausha damu/Yatima mwendokasi ila Ke waliooa Mario ni mapambio tele jinsi walivyo Wapambanaji...shida ni UVULANA au nini haswa?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mi nliuonesha uasset wangu kwa mtu na nikaambulia usaliti, ni story ndefu lakini mi nilisaidia pale ndugu zake hata marafiki walipokaa kimya, nikavunjwa moyo vipande vidogo vidogo.

Pâta picha Kuna Kuna kipindi baba ya mpenzi wangu alimfukuza mama yao nyumbani kwao, mpenzi wangu na mdogo wake wakaenda kumfanyia fujo baba yao, mpaka kumpeleka polisi mzee wao.

Basi alivyonihadithia nikamwambia akaombe msamaha kwa baba yake maana si sahihi alivyofanya, akawa sasa hana hata Mia, maana lazima aite wazee, wachinje mbuzi, pombe, nk

Akawaeleza ndugu zake, Kila mtu anasema hana cha kumsaidia, marafiki wote kimya.

Mimi sasa mama asset nikavunja kibubu nimsaidie mpenzi wangu wasije pâta laana, kumbe mwenzangu anaona namhonga.. Mweee, bora tu niwe liability.
 
Mi nliuonesha uasset wangu kwa mtu na nikaambulia usaliti, ni story ndefu lakini mi nilisaidia pale ndugu zake hata marafiki walipokaa kimya, nikavunjwa moyo vipande vidogo vidogo..

Pâta picha Kuna Kuna kipindi baba ya mpenzi wangu alimfukuza mama yao nyumbani kwao, mpenzi wangu na mdogo wake wakaenda kumfanyia fujo baba yao, mpaka kumpeleka polisi mzee wao,
Basi alivyonihadithia nikamwambia akaombe msamaha kwa baba yake maana si sahihi alivyofanya, akawa sasa hana hata Mia, maana lazima aite wazee, wachinje mbuzi, pombe, nk
Akawaeleza ndugu zake, Kila mtu anasema hana cha kumsaidia, marafiki wote kimya..
Mimi sasa mama asset nikavunja kibubu nimsaidie mpenzi wangu wasije pâta laana, kumbe mwenzangu anaona namhonga.. Mweee, bora tu niwe liability
 
Back
Top Bottom