Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

Status
Not open for further replies.

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya maswala ambayo kwa namna fulani yanaonekana ni ya kijinga, kitoto au kishamba ila if you think bit deeply utagundua yana maana!

1. Kataa ndoa
Hii kwa sasa ni campaign maarufu sina sababu ya kuizungumzia sana, ila kama wewe ni kijana hujaoa basi team #kataa ndoa wanakualika uungane nao, na mdau mmoja wapo ni bwana mshamba_hachekwi na wenzake kadhaa. Kataa ndoa, kama huwezi kukataa ndoa basi jaribu kujiunga na kampeni hii inayofuata.

2. Virginity matter
Y
es virginity matter boy, acha kuwa fala! why should you marry somebody's wife? Why is it so important for you to buy used material while you deserve a new one? Kama sio bikra usimuoe, nisikilize mimi usimuoe, kuna fact nyingi behind this, mdau mmoja alichambua vizuri kwenye uzi fulani hivi nitautafuta. Kwanini uoe mtu ambae alimpa zawadi kubwa kama hii mwanamume mwenzako? Huo ni uzuzu rafiki yangu.

Mbona bikra wapo wengi sana kule Arusha na kule kihome boy rock city sengerema? kwanini sasa unaoa former bar maid au slay queen mstaafu? Ndio maana mabrother mnaachana kila siku ndoa zenu hazidumu mlizingua kuoa used! Sasa wewe kijana ambae unasoma uzi huu kwanini uoe used na wewe uje uteseke mara mkeo kampost ex wake, mara humtoshelezi kama ex wake, mara mawivu....aaaaah
sema kwa sauti #virginity matter!

Unakuja kuwa aje Man wangu yaani wewe unaoa mwanamke ambae si bikra halafu unamuoanea wivu? Si boya wewe unajua alishachakatwa na wangapi hadi kuwa na wewe? Juma kapiga, Ali kachapa, Yassin wa kule chini bondeni kaburuza, Baraka wa kwa mzee Kiwende kapiga tena alimpa mimba wakatoa, Mzee Ayoub na uzee wake alikuwa anakula mzigo tena vichakani, Zahoro alishapiga sana tena ndio alimtoa bikra na nasikia demu alimtongoza kwa barua wakiwa darasa la saba alafu wewe ndio umepata mke wa kuoa tunakwambia unajibu eti ''mapenzi upofu, me nampenda sana'' wewe ni fala acha kuzama kwenye mapenzi kijinga jinga mbwa wewe!

Narudia tena acha kuoa wake za watu, oa mke wako. Yaani pipi ili uile kwa uhuru inatakiwa uimenye mwenyewe ikiwa mpya sio uiokote wenzio wamemenya wameramba ramba alafu wewe unaichukua tena kwa furaha zote kama sio zuzu ni nani wewe.....join the campaign #virginity matter

NB; ukijoin kampeni ya #virginity matter hakikisha hauharibu bikra za watu, la si hivyo utakuwa unazingua.


Sasa kuna mtu kaniuliza eti ghost mimi nikikataa ndoa, na nikikosa bikra wa kumuoa si upwir* utaniua? aaah no no that ain't gonna happen! jiunge na kampeni hii hapa chini.

3. Have sex and bye bye / boom boom ciao
Kwa sababu sio bikra ila umemuelewa kwa sababu mtoto ana chuchu saa sita, kifuani amekatika basi ishi nae kwa boom boom ciao, kula tunda kimasihara upite hivi acha uboya, yeye si alitoa mzigo ukamenywa na hakuolewa sasa fanya kama alivyozoea. Siku ukipata kigoli utaoa. It sound offensive, isn't it? never worry buddy since you didn't take her virginity basi you don't offend her!

Sasa once you get married to a virgin girl, pls love her like hell even if she'll cheat you don't bother yourself to get hurted sasa wewe ushamenya ganda wivu wa nini watu wakati wanakula mabaki yako, ingetakiwa uumie kula mabaki ya watu na sio watu kula mabaki yako. Ila usikae kifara maana akielewa show huko nje unanyang'anywa mali kiuraiiniiii, piga show like hell bro.

Regards,
Ghost.
 
Last edited:
whoa whoa whoa look at this chap....what the hell are you talking broh?

This is not for weak people, it is for the strong men!

To answe ur first question, kataa ndoa is not forever it is only for the time when you are looking for the right person and building yourself financially, as u said.

Hit and run aka boom boom ciao is when you are not married, ie you have not find a right partner.

Virginity matter, is not for all us, it's for few smart boys out there.

NB; all of these are option.... did I point a pistol straight asking you to do this bro?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom