kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  2. GENTAMYCINE

    Huenda 2024 tukawa na Waziri Mkuu mpya ili kuikamata Kanda ya Ziwa yote na kummaliza mazima Mshindani wa 2025 ndani ya CCM

    Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani. GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni...
  3. Execute

    Kumbe magari yenye Namba C yalihamia Kanda ya Ziwa

    Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo. Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime...
  4. GENTAMYCINE

    Wanaume wa Kanda ya Ziwa mmeshtuka nini hadi nyie ndiyo mnaongoza kwa Kupima DNA Tanzania nzima?

    Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno. Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
  5. The Burning Spear

    Kanda ya ziwa inatumika vibaya kuivusha CCM kwenye Matatizo

    Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote. Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale. Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
  6. A

    Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
  7. M

    Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  8. GoldDhahabu

    Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

    Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake. Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza...
  9. The Burning Spear

    Roho ya CCM ipo kanda ya ziwa kichwa kipo Pwani

    Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM.. Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda... Sababu. 1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo. 2.wapiga kura kutoka ukanda huu wametapakaa Tanzania...
  10. Boss la DP World

    Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao. Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
  11. GENTAMYCINE

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

    Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura. Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na...
  12. Kijakazi

    Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

    Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo? Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
  13. F

    Round moja tu ya operation +255 Kanda ya Ziwa imeleta hofu nchini. Je tunarudi tulikotoka?

    Kuna kila dadili za kurudi tena kwa siasa za kamata kamata tulizoziona miaka mitano iliyopita. Sakata la bandari limewapa Chadema wasaa mzuri wa kukutana na wananchi nchi nzima kupitia operation 255 ambayo imeonesha mafanikio makubwa hata kanda ya ziwa ambapo watu walifikiri chama hicho kikuu...
  14. B

    Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  15. Nominee

    Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  16. R-K-O

    Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

    Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka Kagera Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe) Mara Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ? Dar kuna...
  17. K

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  18. GoldDhahabu

    Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

    Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
  19. Suley2019

    Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  20. Chief Wingia

    Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
Back
Top Bottom