kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  2. BLACK MOVEMENT

    Hizo Dhahabu zinazo chimbwa Geita na kwingineko kanda ya Ziwa, mbona bado Umasikini uko juu sana?

    Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho. Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
  3. K

    Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla. Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
  4. G

    Wapi maeneo ya Kanda ya Ziwa naweza pata ng'ombe wazuri

    Wakuu salaam. Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku. Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu. shukurani.
  5. N

    Jina la huu mmea kwa watu wa kanda ya ziwa

  6. Faana

    Nini Sababu ya Mawe Haya Kanda ya Ziwa Kutoanguka

  7. BARD AI

    Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango Kanda ya Ziwa akamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu

    JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kanda ya Ziwa, Elias Anania (20) kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu kupitia kundi sogozi la WhatsApp. Inadaiwa mwanafunzi huyo amewataka wenzake kununua petroli na kuchoma askari polisi wenye sare...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

    Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa. ( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa...
  9. Ojuolegbha

    Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa

    Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa Victoria linalounganisha jiji la Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na nchi jirani kama Uganda, Rwanda na Burundi. Mradi huu umefikia asilimia 90%...
  10. Nyankurungu2020

    PreGE2025 Ushauri toka kwa mpenda Demokrasia: Mmerejesha ngome yenu ya Nyasa. Pambaneni kanda ya ziwa 2025 mtafanya makubwa

    Kabla ya uchaguzi wa 2015 mlikuwa na nguvu sana mikoa ya Mwanza, Mara na Geita. Mlishinda chaguzi na kupata mafiwani, wenyeviti wa vijiji , vitongoji na hata Wenyeviti wa serikali za majiji. Kanda ya Nyasa mmerejesha imani yenu kwa wananchi. Sasa komaeni na Kanda ya Ziwa. Hata kama Diallo...
  11. mdukuzi

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  12. NostradamusEstrademe

    Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  13. S

    Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  14. W

    Kanda ya ziwa inaongoza kutoa wasomi wingi, ni kwanini mpaka sasa hakuna chuo kikuu cha serikali ?

    inashangaza sana kuona mpaka sasa ukanda huu hauna chuo kikuu cha serikali licha ya kuwa sehemu inayotoa wasomi wengi na kuwa na jiji kubwa la Mwanza. vyup utavyovikuta ni vya kati tena ni matawi yaliyojengwa miaka ya karibu, mifano tia, ifm, cbe, dit, n.k. Chuo kikuu cha serikali hakuna, kile...
  15. K

    Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ina mzunguko mkubwa wa pesa ila ina miundombinu mibovu sana

    Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
  16. Analogia Malenga

    THRDC yalaani ukamatwaji wa waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa

    TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa waandishi wa habari mbalimbali nchini, hasa siku za hivi karibuni. Tukio la hivi punde ni kukamatwa kwa...
  17. Roving Journalist

    TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  18. ngara23

    Wanaume wa Kanda ya ziwa, enyi wanawake jaribu kutuelewa

    Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa. Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara...
  19. MURUSI

    SoC04 Tuanze na kilimo cha Pamba GMO isio kuwa na hatari kiafya, Ili kukuza zao hilo mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022. Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
  20. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
Back
Top Bottom