kanda ya ziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa Kanda ya ziwa sahau kurudi kwenu

    Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa. Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao. Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa. Basi nawasogezeeni hili...
  2. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  4. voicer

    JamiiForums Tanzania Ione meli mpya ya Songoro Marine, gumzo Kanda ya Ziwa

    Ni meli mpya ya mwendokasi iliyotengezwa na kampuni ya wazawa Songoro Marine Yard ya jijini Mwanza iliyozinduliwa katika Ziwa Victoria ambayo imejizolea umaarufu kutokana na ubora wake pamoja na kurahisisha zaidi huduma za usafiri kati ya Mwanza na kisiwa cha Ukerewe. Kampuni za wazawa zinao...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wavuvi Kanda ya Ziwa wamuonya Waziri Bashe uvuvi haramu

  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  10. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa Kitovu cha Ukombozi wa Nchi Hii

    Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kinaandaa mkutano wa ufunguzi tangu marehemu alipobaka Katiba kwa kuweka zuio haramu zuio lililokinzana na...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma wananchi wa mkoa wa Geita hawakuelewi, pia kubaliana na kauli ya Dkt. Bashiru Ally Kakurwa

    Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka. Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

    Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana. Takwimu za sasa kwa namba: Mwanza 3,699,872 Kagera 2,989,299 Geita 2,977,608 Mara 2,356,255 Shinyanga 2,123,654 Simiyu 2,078,428 Jumla ni around milioni 15 ambayo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa hawana uelewa wa kuwepo kwa makabila mengine nchini

    Niko kanda ya ziwa, Nimeshangazwa na kitu kimoja Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku. Watu hawajuihata Tanga iko wapi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

    Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani. Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

    Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika. Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
Back
Top Bottom