Je, wanasiasa wa Kanda ya Ziwa wanahujumiwa?

kanulege

Member
May 3, 2013
86
104
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?

Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.

Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.

Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
 
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii je kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma ,Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?
Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?
Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.
Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.
Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa ?
Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
wana uwezo wapewe nafasi
 
Ni hatari sana kupata viongozi kutoka huko kwa rekodi zinaonesha ukabila na unyama mkubwa kufanyika kama vile Magufuli na Makonda walivyofanya, hii ni mifano michache tu.
Hivi umeshawahi kujiuliza au umeona mchaga yoyote anapingana na mwanasiasa kutoka kanda ya kaskazini kama Mbowe?
Au wachaga hawana ukabila wenyewe kupenda wa kwao ni demokrasia?
 
Hivi umeshawahi kujiuliza au umeona mchaga yoyote anapingana na mwanasiasa kutoka kanda ya kaskazini kama Mbowe?
Au wachaga hawana ukabila wenyewe kupenda wa kwao ni demokrasia?
 
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?

Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.

Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.

Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
Siyo Wanasiasa kutokea Kanda ya Ziwa yote bali ni Wasukuma kwa sababu ya upumbavu wa Magufuri na Sukuma Empire.
 
Dotto ana nguvu gani kisiasa?

Huyu Makonda makalio makubwa ana nguvu gani kisiasa ?
Una element na DNA za ushoga tako la mwanaume mwenzako unatesekea nalo la nini? tako lake linazuia kuwa kiongozi bora? Nyie watu mna shida gani?
 
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?

Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.

Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.

Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
90% ya wanaoponda ukichunguza vizuri wametoka kaskazini.
 
Back
Top Bottom