Kanda ya ziwa inaongoza kwa wasimbe, kanda ya kaskazini inaongoza kwa wajane, tutafakari

Kanda ya ziwa kila nyumba ina msimbe mmoja au wawili maana yake sio wavumilivu kwenye ndoa au ni wakorofi kwenye ndoa zao.

Ukija kanda ya kaskazini, Arusha na Moshi kuna wajane wengi hii maana yake wanaume wanakufa kwa stress za mapenzi au wanauliwa na wake zao
Nadhani hata sheria ya Christian kuoa mwanamke mmoja inachangia pia.
 
Back
Top Bottom