kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Safaricom itatumia nambari ya mwanzo ya 07 katika kampuni mpya ya Safaricom Ethiopia.

    Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano katika historia nzima ya Ethiopia. Safaricom set to use 07 prefix for Ethiopia phones...
  2. Yanga Kampuni.

    Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji. Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo; 1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita. 2. Thamani...
  3. Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba alisema hayo alipoulizwa kama na yeye ana mpango wa kufungua kampuni ya betting kama msanii mwenzake.
  4. Kwanini kampuni nyingi zinapoteza nguvu ya kiushindani (competitive advantage)?

    Pindi kampuni inapopoteza nguvu ya kiushindani, faida pia hushuka (profitability falls) japo si lazima Kampuni kufa. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikielezwa kama chanzo kwa kampuni kupoteza nguvu/uwezo wake wa kiushindani sokoni. Lakini sababu kuu zinazosababisha hali hii ni kama ifuatavyo...
  5. Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  6. P

    Upelelezi uliofanywa kwa kampuni ya kituruki na uwaguse wawekezaji wote wapya

    Rais Samia aliongea kwa ukali pale bandarini siku ya tarehe 4 mwezi huu wa Desemba. Sina uhakika kama wasaidizi wake walimtegemea kumsikia akiongea kwa kujiamini kiasi kile. Ni kama vile Rais ameanza kutanua makucha yake. Ule muda wa honeymoon ya miezi ya kutambuana kati yake na wasaidizi wake...
  7. N

    DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon. Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
  8. Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  9. Licha ya kufanya makubwa Tanzania, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, yaahidi kufanya zaidi na zaidi!

    Wanabodi, Naomba nianze na facts: 1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la...
  10. K

    Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  11. BoD Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni yako

    Habari za wakati huu; Kwanza kabisa nitanguliza shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa neema zake.Leo nataka tuzungumzie issue ya BODI ya kampuni na umuhimu wake.Kampuni nyingi private huwa zinafeli kwa sababu ya kuwa na BODI(BOARD ambayo ni pungufu) Ni muhimu kwa mmiliki kwa mjumbe wa bodi...
  12. Apple yaifungulia mashtaka kampuni inayomiliki Pegasus

    Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
  13. K

    Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Kwema job seekers wenzangu? Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa. Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu...
  14. Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  15. Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  16. Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya

    Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya ambayo itakuwa inatumika katika simu kali za bei nafuu ili kushindana na soko la Qualcomm. MediaTek inafahamika sana kwa kutengeneza processor za simu za bei nafuu kama vile Tecno, Realme, Oppo, Infinix n.k. Dimensity 9000 ni ubongo wa kwanza wa simu kutumia...
  17. Review: Tanzania kutofaidi kwa madini na gesi asilia Tatizo ni nchi sio kampuni za nje

    Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
  18. R

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  19. K

    Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  20. D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…