kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja mkataba wa kuiuzia korosho kampuni ya Kenya

    Serikali ya Tanzania imesema mkataba wake na kampuni ya Kenya ya kununua korosho tani laki moja umesitishwa. Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Joseph Kakunda , wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania la "The CITIZEN" na kusema kuwa kampuni hiyo ya Indo Power wameshindwa kufuata masharti...
  2. Movies Store

    JamiiForums Tanzania Nanunua Mitungi Empty ya Gas za Majumbani Kampuni zote

    Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe. Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
  3. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

    Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kero: RC DSM tuondolee kampuni zinazokamata magari ni kero na zinachochea rushwa rushwa

    Kilio chetu kwa mkuu mkoa DSM sisi wananchi mkoa DSM kuna tabia sasa imerudi ilikuwepo zamani ikaondolewa wakati fulani sasa imerudi tena kwa kasi. Kuna kampuni zimesajiliwa sijui na TARURA kukamata magari barabarani pale unaposimama na kupaki mahali au gari ikiwa imeharibika njiani. Kwanza ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makubaliano kati ya Serikali na kampuni ya madini ya Barrick, yametekelezwa kwa kiwango gani mpaka sasa?

    Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa kinahubiriwa majukwaani. Kwa mfano, ujenzi wa smelter umeshaanza? Na kama umeanza, umefika asilimia ngapi...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  7. Bexb

    JamiiForums Tanzania Je, ulisajili kampuni na hujafungua e-filing ya TRA?

    Habari ya jioni wakuu. Kuna baadhi ya watu walifungua/kusajili kampuni lakini wakawa kama wameitelekeza iwe ni kwa kufanyia kazi kwa muda mfupi na kuiacha ama kutoifanyia kazi kabisa baada ya kuisajili. Mjue kuwa taarifa zenu zipo TRA tena nyie mliofungua kampuni kuanzia mwaka 2018 ndio hadi...
  8. jian

    JamiiForums Tanzania Mshiriki wa Kampuni ya TEHAMA Iringa Mjini

    Habari wakuu, Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki wangu tufungue kampuni ya IT hapa Iringa Mjni. Kwa info zaidi nicheki PM. Asante!!
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Naomi Osaka kuja na Kampuni yake ya Mawasiliano ya HanaKuma

    Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
  10. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusajili kampuni

    WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TRC wavunja mkataba na Kampuni iliyopewa tenda ya kutengeneza Vichwa vya Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limevunja mkataba na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki baada ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa vichwa viwili vya treni ya umeme na mabehewa 30 ya abiria. Kwa mujibu wa mkataba huo, vifaa hivyo vilitakiwa kukamilika Novemba 2021 lakini kwa kuwa Eurowagon...
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Bila mkataba na kampuni ya uwindaji Ortello kuvunjwa hapatakua na amani Loliondo

    Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa. Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao ikawa kama wamepata koloni. Pamoja na kwamba wameweza kuepa kutajwa na vyombo vya habari kama zamani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Huko ngorongoro kampuni ya uwindaji ya ortello ya UAE, je haihusiki?

    Huko Ngorongoro kuna wawekezaji wa kitalu cha uwindaji wa miaka mingi wanaitwa Ortello. Hii kampuni inahusisha vigogo wa kifalme wa falme za kiarabu. Inasemekana kigogo fulani wa ccm na serikalini wana maslahi na wamekua wanaibeba kampuni hiyo. Kila mwaka kunakuaga na kutangazisha vitalu ila...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi 100 ya kazi za Afisa Mauzo katika kampuni ya Sanlam Life Insurance LTD

  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake. Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi. Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  20. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kumekucha, Kafulila, Chongolo kula sahani moja na wahujumu Uchumi

    SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku ya Jumatatu, Juni5, 2022. Kafulila amesema hayo kufuatia malalamiko ya wakulima kuhusu bodi ya pamba...
Back
Top Bottom