Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
376
1,000
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!

Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!

Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!

Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!

Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!

Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.

Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.

Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,828
2,000
Makamba January ni tatizo linalojitegemea, huyu mtu hafai hata kuwa balozi wa serikali ya mtaa wowote nchi hii, hana sifa ya kuwa kiongozi wa serikali ni vile tu wanaangalia kujuana.

Hiyo bodi aliteua members ambao wanajuana, mostly wakiwa marafiki zake, akiamini fika uwepo wao hautakuwa kikwazo kwake kwenye kufanya ujanja wake, huyu mtu anatafuta pesa za kuwa rais wa kubebwa.
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,403
2,000
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.

Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.

Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Hizi aya tatu umepoteza muda tu, sisemi kwa nia mbaya ila huo ndio ukweli. Bunge lilivyojaa vilaza wataona kuwa wanawapa credit Upinzani yaani akili zao ziko hapo tu. Ndugai ataishia kukushangaa kama atabahatika kupelekewa hizi taarifa.

Takukuru ndio hawana habari kabila ila above all tusiache kuongea maandishi hayafi....
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,653
2,000
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!

Kwa nini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!

Kwa nini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!

Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!

Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!

Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.

Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.

Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,533
2,000
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!

Kwa nini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!

Kwa nini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!

Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!

Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!

Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.

Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.

Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Hivi hadi sasa ni nani mhimili wa kuaminiwa🤔
 
Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,880
2,000
Mtu alikuwa Magufuli tu katika hii nchi. Pamoja na mapungufu yake yote,lakini alikuwa na uchungu. Usingeweza kukuta vitu vya ajabu ajabu namna hiyo. Ghafla nchi imebadirika upigaji umekuwa live live sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom